Huyo mchina Wazungu hawatamuacha.Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa...
Hivi TRA wamesha ingeza nishati ya umeme kwenye orodha ya nishati ziendeshavyo magari/ pikipiki?Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa...?
Watamfanya nini?Huyo mchina Wazungu hawatamuacha.
Naona bado sijui watazichajije hizi? Kwenye mfumo hazipoHivi TRA wamesha ingeza nishati ya umeme kwenye orodha ya nishati ziendeshavyo magari/ pikipiki?
Pikipiki zaumeme hazisajiliwi TRA kwakuwa kwenye card ya usajili inaonesha chombo ni eidha ⛽ petrol au diesel ⛽
Pikipiki zinaitwa baiskeli za umeme kwa hiyo ukinunua ni mtelezo tu. Na Mchina ameweza kweli maana ina pedal za baiskeli ikiisha charge ghafla unanyonga tu kama baiskeli.Hivi TRA wamesha ingeza nishati ya umeme kwenye orodha ya nishati ziendeshavyo magari/ pikipiki?
Pikipiki zaumeme hazisajiliwi TRA kwakuwa kwenye card ya usajili inaonesha chombo ni eidha [emoji618] petrol au diesel [emoji618]
Hivi TRA wamesha ingeza nishati ya umeme kwenye orodha ya nishati ziendeshavyo magari/ pikipiki?
Pikipiki zaumeme hazisajiliwi TRA kwakuwa kwenye card ya usajili inaonesha chombo ni eidha [emoji618] petrol au diesel [emoji618]
Wanaweza ongeza na UMEMEHivi TRA wamesha ingeza nishati ya umeme kwenye orodha ya nishati ziendeshavyo magari/ pikipiki?
Pikipiki zaumeme hazisajiliwi TRA kwakuwa kwenye card ya usajili inaonesha chombo ni eidha [emoji618] petrol au diesel [emoji618]
Tatizo ni mtengenezaji, I doubt their durabilityUnchosema ukweli ngoja nitafute pesa nivute kimoja tena kiwe na sola panel roofing pamoja na autocharging system kama ya Dynamo ya baiskel...
That’s the future bro.Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa...
Wazungu Watahakikisha vinabaki huko huko.Vipo vingi sana vigari vya hivi huko uchina
Sema hiyo charge yake ni kama 25mSijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa...
Mziki wake hizo gari ni battery ikifa, bei yake ni almost nusu ya manunuzi ya gari na lifespan yake ni miezi 18 kama ukizingatia masharti ya kuchajiSijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa..
Mzee SI unit ya torque sio kilomita, Mana torque =Force*distanceUnchosema ukweli ngoja nitafute pesa nivute kimoja tena kiwe na sola panel roofing pamoja na autocharging system kama ya Dynamo ya baiskeli,.
Tayari nimeongea na enginee...
[emoji23][emoji23][emoji23]Pikipiki zinaitwa baiskeli za umeme kwa hiyo ukinunua ni mtelezo tu. Na Mchina ameweza kweli maana ina pedal za baiskeli ikiisha charge ghafla unanyonga tu kama baiskeli.
HaaUmeme wenyewe wa mgao unataka ulaze gari kwenye chaji asubuhi uamke nayo alafu Mbunge wa Bumbuli anakata umeme.
umeme unarudi asubuhii ya saa tatu saa kumi na moja unakatika tena.