Haya magari ya umeme toka China yanashawishi

Haya magari ya umeme toka China yanashawishi

Kuliko kuwa na gari ya umeme naona ni afadhali kuwa na gari umefunga CNG...
 
Tatizo watu ni restance to change haya magari nimekuwa nikiyafatilia sana kwenye forum mbalimbali ,yanafanya vizuri sana , sana nikihama kwenye mazda lazima nijirupue maana wanatoa warant na garantee ya vipuli kipi nihofie?? Dola 7000$ sio shida ,Tubadilike tuache ujuaji na kukatisha watu tamaa
Mkuu ile Nissan Titan inabaki ya masafa na mashambani tu! Au siyo [emoji53][emoji53]
 
Sijui tunafeli wapi wanazengo ila kimsingi natamani sana kama tungeanza kuhamia huku mdogo mdogo.
View attachment 2078838
Hii gari ni ya usd 8000 tu roughly kama 18.5m hivi kwa wanaonunua gari za 25-30M naona kama hii chuma inanunulika kabisa.

Kigari kina Range ya 360KM per single charge which is fair enough kwa mizunguko ya mjini with 150KPH top speed which is also fair kwa mjini. Battery la 45.2KwH with fast charging ya 100% ndani ya lisaa limoja au 10 hrs standard charging.

Kwa gharama za mafuta naona kama hii ni option nzuri na mbadala au nasema uongo ndugu zangu?
Kumbuka sis na Saudia Ni ndugu wa damu. Hata misiba huwa tunaenda kuhani.unategemea atakubali wateja wake wa wese tutumie umeme
 
Hizi gari haziaribiki kiwepesi sababu zina less moving parts! Yani kitendo cha kuwa na motor tu kimeondoa propeller, camshaft,crankshaft, piston, valve!

Yani service kubwa ni battery ambalo pia haliaribiki leo unaweza dunda nalo mpaka kilometer laki 5 huko ndio battery ife.


Halafu hao wachina mnaowabeza ndio wanatengeneza almost bidhaa zote za brand kubwa kubwa under licence na costs ziko chini sababu ya cheap labour costs.

Wabongo wanaponda tu hata zilipokuja sanLG na Fekon walipondaga sana ila mwisho wakakubaliana tu kuwa zile ni pikipiki kama zingine tu.
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
ushubwada hamna kitu labda vya starehe tu
utoke dar mpaka dom kizime kati na uchaji masaa kumi bora hata wanaopaa kwa ungo
 
Back
Top Bottom