Haya maharage ni ya matajiri?

Yanahitaji pesa kuyanunua, sasa inategemeana kuwa kwako wewe tajiri anatakiwa kuwa na Tsh ngapi ndo awe tajiri.
Fungu sokoni si zaidi ya 1,000. Kama kutoa 1,000 ni utajiri basi yes ni ya matajiri.
 
Dagaa ni chakula cha kimasikini japo zinahitaji pesa kununua.
 
Yanahitaji pesa kuyanunua, sasa inategemeana kuwa kwako wewe tajiri anatakiwa kuwa na Tsh ngapi ndo awe tajiri.
Fungu sokoni si zaidi ya 1,000. Kama kutoa 1,000 ni utajiri basi yes ni ya matajiri.
Duh hayo yanahitaji pesa gani sasa? Arusha ukienda sokoni na hiyo buku unapata yakutosha.

Labda kama ni bei ghali kanda nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…