Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna haya ukienda sokoni asubuhi yapo kama yote
Dagaa ni chakula cha kimasikini japo zinahitaji pesa kununua.Yanahitaji pesa kuyanunua, sasa inategemeana kuwa kwako wewe tajiri anatakiwa kuwa na Tsh ngapi ndo awe tajiri.
Fungu sokoni si zaidi ya 1,000. Kama kutoa 1,000 ni utajiri basi yes ni ya matajiri.
Duh hayo yanahitaji pesa gani sasa? Arusha ukienda sokoni na hiyo buku unapata yakutosha.Yanahitaji pesa kuyanunua, sasa inategemeana kuwa kwako wewe tajiri anatakiwa kuwa na Tsh ngapi ndo awe tajiri.
Fungu sokoni si zaidi ya 1,000. Kama kutoa 1,000 ni utajiri basi yes ni ya matajiri.
Unawajua dagaa mchele mkuu?Dagaa ni chakula cha kimasikini japo zinahitaji pesa kununua.
Dagaaa mmmh yake nyama hayoHayafai kuchanganya na dagaa?
Kule monduli wanapika sana haya mama ntilieNi nadra sana kukuta yamepikwa kwenye familia za kawaida au kwa mama ntilie.
hasa soko la mbuyuniHuko moshi masokoni buku unajaziwa fuko la rambo bwashee.
Siyapendii 😅labda Nile tu kwa sifa nikiwa zangu huko mahoteliniHuko moshi masokoni buku unajaziwa fuko la rambo bwashee.
Waswahili tumezoea milo yetu si kwamba kubadilisha milo ni gharama. Kuna vitu vingine hatuli kwa sababu hatuvipendi wala si gharama au havina ladha nzuri midomoni mwetu.Ni nadra sana kukuta yamepikwa kwenye familia za kawaida au kwa mama ntilie.