Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Tofauti ya Ulaya na mabara mengine ni kuwa, wao wanaongozwa na taasisi/systems. Uwe mbunge, uwe rais au uwe nani ni lazima ufate kile kilichopangwa.Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Soma historia kijana, Wakubwa wa Ulaya huwa hawaikubali Urusi tangu enz na enz km Tz tusivyokubalika East Africa sabab ya kutotaka kucopy with others, Urusi ndo taifa pekee balani Ulaya lenye akili za Ki Asia (udikteta na utawala wa mabavu usiojali nin wananch wanataka, nguvu ya dola ipo mikononi mwa mtu mmoja, ona UK juz walikuwa wana mchallange Boris ila Bunge la Urusi halina kauli dhidi ya Putin, hiki ndo Mabeberu hawakitaki)Hapo ni Mmarekan na Muingereza ndo wanaoratibu hayo mambo! Mtu kama Mfaransa sidhan kama ana nia hakufanya hayo mambo.
Mkuu, si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - they know military capabilities of them Russians should they decide to unleash their formidable weapons/missiles which western nations have no capabilities of intercepting them!!Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Vichekesho kama hivi tubonyeze ngapi?Mrusi kashaingia kwenye Target muda tu, ninachowapendea Ulaya hua wana mpango mkakati wa muda mrefu sana alikua anatafutwa panya wa kumfunga paka kengele ambaye ni Ukraine.
Sasa wakati wa kumpiga muhuni umefika anazidi kuingia kwenye kumi na nane za wanaume sasa kashaelekezwa machinjioni
Sio kweli,kila nchi Ina haki ya kuwa na msimamo wake!Ndio maana unaona Turkey huko NATO anavyowatoa kamasi juu ya kupiga kura ya hapana Kwa Fins na Sweden kujiunga NATO!Tofauti ya Ulaya na mabara mengine ni kuwa, wao wanaongozwa na taasisi/systems. Uwe mbunge, uwe rais au uwe nani ni lazima ufate kile kilichopangwa.
Hakuna wa kuja kuzuia hili, kama kwa sasa ajenda ni kupambana na putin, basi kiongozi yoyote lazima aendane na ajenda hiyo.
Kwanini?Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Mkuu Ulaya wakiamua wameamua maana hawana namna, wako hatarin mruss akimalizana na Ukraine ulaya itakua haina ushawishi wowote na si ulaya tuu hata Marekani.Mkuu,si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia
Hivi EU watangaze vita na Urusi kisa Ukraine ambaye hata sio mwanachama wao?Kila nchi Huwa inaangalia maslahi na usalama wake kwanza!Unadhani nchi zilizo karibu na Urusi zitakubali ukizingatia nukes azomiliki Russia?Kwanini?
Mleta mada tofautisha kati ya EU na NATO...Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa ulaya kama V.I.P membership, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo...
Mkuu Ulaya wakiamua wameamua maana hawana namna, wako hatarin mruss akimalizana na Ukraine ulaya itakua haina ushawishi wowote na si ulaya tuu hata Marekani.