Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
Wewe samahani usituharibie siku yetu buana, huyu jama wako alikua ignorant kuhusu International relations and world politics Tz was a laughing stock to the world kwa sabb ya huyu buana.
 
Mkuu, si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - they know military capabilities of them Russians should they decide to unleash their formidable weapons/missiles which western nations have no capabilities of intercepting them!!
duh akili umeacha wap
 
Hao NYETO sijui NATO wanaonea nchi za uarabunu na Africa ila when comes to RUSSIA lazima mkia ufyate kama mbwa koko
kwan hzo nch waliwai kukurupuka hata Kumtoa Ghadaf walisaidia silaha hlf wakaja kumaliza kaz kiurahis , West wana mipango , hawaendeshw na mihemko , badala ya kukaza fuvu ni muda sasa wa kujifunza namna ya kufanya km wao , China imejifunza ona ilipo , huku Afrika mashariki mr slim anafuata nyayo , kwasasa mr slim anailinda ikulu ya Africa ya kati bila kusahau Drc anaiperekesha atakavyo huko Msumbij bi Nyuso ndo anamkubali Mr Slim kwa huduma aliyoitoa huko Cabo Delgado , Utulivu akili ndio silaha ya kumshinda adui , Wazungu wapo vzr kwny hilo
 
Hivi EU watangaze vita na Urusi kisa Ukraine ambaye hata sio mwanachama wao?Kila nchi Huwa inaangalia maslahi na usalama wake kwanza!Unadhani nchi zilizo karibu na Urusi zitakubali ukizingatia nukes azomiliki Russia?
Kwanza kila nchi ya Ulaya ina Nukes, isitoshe imeshagundulika zana nyingi za Mrusi ni Obsolete, hana jipya, pili Mrusi ana silaha lakini hana mbinu za Kivita, mfumo wa jeshi lake sio wa kisasa, sasa hivi Vita vinapiganwa kwa Tekinolojia, Kabla haujalaunch hiyo Silaha yake atakuwa ameshashambuliwa, Kwa taarifa yako kupitia Vita hii Amejiexpose sana.
 
Mleta mada tofautisha kati ya EU na NATO...

EU haina jeshi la pamoja hapo ni masuala ya kiuchumi na kijamii. Member wa EU wanajitegemea kila mmoja na jeshi lake.

NATO ndio wana jeshi ambalo ni baadhi ya nchi za ulaya pamoja na marekani.

So hakuna kitisho kwa usalama wa Russia kwa Ukraine kujiunga EU.

Na kumbuka kwenye EU mmoja wa superpower alishajitoa. Muingereza.

Nakushauri FUTA huu uzi.
Mkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.

Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi

Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
 
Mzee kama EU wamechoka kuishi au wameichoka dunia bhs wajidanganye kuingia vitani na Russia nahis watoto wetu kwenye history watakua wanafundishwa kulikua na bara linaitwa ulaya”

Hakuna nchi Ulaya inayoweza pigana na Russia direct hata US mwenyewe hana huo ubavu. Mnajua wengi mmedanganywa na propaganda za west kuhusu majeshi yao ila kiuhalisia ni kawaida sana.

Wengi wenu humu mmeanza kuijua Russia wakati wa kipindi hiki cha mgogoro na Ukraine.

VITA PEKEE EU WANAYOWEZA NI VIKWAZO.
We chiz kweli kwani Ukraine anapigana na mazombi
 
Mkuu, si nchi za EU tu ambazo haziwezi ku-risk kuingia vitani na Urusi, hata Amerika haina ubavu wa kuingia vitani moja kwa moja na Urusi - they know military capabilities of them Russians should they decide to unleash their formidable weapons/missiles which western nations have no capabilities of intercepting them!!

Military capability gani wakati tumeshuhudia aibu ya Mrusi pale Kyev, hovyoo sana, kainchi kadogo kamemsumbua akili.
Mrusi pona yake ni manyuklia kule ghalani hamna kingine, mpaka sasa angekua ashatiwa adabu.
Hata waarabu na dini yao watamhama, hawatanunua dhana kutoka kwake tena.
 
Mkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.

Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi

Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Mali ipo chini ya mrusi ndio maana hata wanajeshi wa ufaransa wamefukuzwa
 
Mkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.

Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi

Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...
 
Soma historia kijana, Wakubwa wa Ulaya huwa hawaikubali Urusi tangu enz na enz km Tz tusivyokubalika East Africa sabab ya kutotaka kucopy with others, Urusi ndo taifa pekee balani Ulaya lenye akili za Ki Asia (udikteta na utawala wa mabavu usiojali nin wananch wanataka, nguvu ya dola ipo mikononi mwa mtu mmoja, ona UK juz walikuwa wana mchallange Boris ila Bunge la Urusi halina kauli dhidi ya Putin, hiki ndo Mabeberu hawakitaki)

Tz haikubaliki EA?
 
EU ukiondoa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani vinchi vilivyobaki ni vidogo vidogo eg Belgium size yake ni 30,000km square wakati mbuga ya seluu tu ni 54,000km square hivyo utaona size ya hiyo EU inaenda kuwa karibu sawa na Russia akiungana na Belarus na pia nchi nyingi zimestaarabika hivyo waungamkono vita wameanza kupata upinzani eg Macron kakosa majority, waziri mkuu wa Bulgaria kapigwa chini
 
Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...
Mkuu nipe reference ya Umoja wa Ulaya as EU kuendesha operation ya kijeshi sehemu yeyote duniani...
Under the Common Security and Defence Policy (CSDP), the EU takes a leading role in peacekeeping operations, conflict prevention and the strengthening of international security. It is an integral part of the EU's comprehensive approach towards crisis management, drawing on civilian and military assets. Almost 4,000 women and men help to promote peace and security where needed, providing stability and building resilience in fragile environments. Since the first CSDP missions and operations were launched back in 2003, the EU has undertaken over 37 overseas operations, using civilian and military missions and operations in several countries in Europe, Africa and Asia. As of today, there are 18 ongoing CSDP missions and operations, 11 of which are civilian, and 7 military.
 
Mada umeileta kwa MAHABA sana bila kuzingatia kanuni na taratibu za EU na NATO. Unaamini au unajua EU ndio NAYO and viz versa.
Unayo mahaba sana na unaumizwa na kile anatendewa UKRAINE ni jambo jema. Lkani hakuna namna.
Urusi haiogopi wala sio hawajui hilo tusubiri kuna nchi zitaharibiwa vibaya na Urusi hata kama akishindwa vita

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nazijua kanuni sana mkuu ,ila sijaongelea mahaba naongea uhalisia uliopo ,
 
Back
Top Bottom