Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Sasa hujapata hata like Moja jitafakari.Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38] sasa magufuli angewafanya nini weatern kama 60% ya bajeti wao ndio wana fund, magufuli alikuwa anawatisha nyinyi wananchi wake lakini siyo westernHiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
Ni hivi mkuu kama wangeweza kumpa misaada direct wasingefikia kufanya uamuz mgumu hiv ,ishu inayosadikika ni kuwa baada ya kujiunga na kupata status ya EU membership ,umoja wa ulaya kupitia policy yake ya ulinzi itaunda operation maalumu dhid ya kumlinda mwanachama mwezao ,ukumbuke pia member weng wa EU wako NATO hivyo wanaamini kabisa lazima Russia itarespond ,ni kama mtego maana Russia hatua yoyote ya kijeshi atakayotumia dhid ya EU inaweza ikaigusa NATO ,na hapo ndipo wanamtaka puttin ajichanganye aguse NATO member yoyote.ili wapate sababu ya kuingia direct ,maana hii vita bila kuingia direct Ukraine hataweza hata akisaidiwa vipi .
Baeleze,Military capability gani wakati tumeshuhudia aibu ya Mrusi pale Kyev, hovyoo sana, kainchi kadogo kamemsumbua akili.
Mrusi pona yake ni manyuklia kule ghalani hamna kingine, mpaka sasa angekua ashatiwa adabu.
Hata waarabu na dini yao watamhama, hawatanunua dhana kutoka kwake tena.
Mali wamekaribisha Mrusi na kuondoa takatakaMkuu twende pole pole tuliza jazba soma kipengele cha mwisho
Ulianzishwa mwaka 1991 juu ya msingi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Ulaya.
Shabaha kuu zilikuwa kujenga uchumi wa pamoja, kuboresha maisha ya watu wa Ulaya na kuzuia vita kati ya nchi za Ulaya.
Pia umoja wa ulaya wanao uwezo wa kutoa msaada wa kijeshi ,japokua hawana muungano wa kijeshi ila linapokuja swala la kutoa msaada huunda jeshi la pamoja kutoa msaada hapo chini nimekupa mfano wa umoja wa ulaya katika kutoa msaada wa kijeshi
Umoja wa Ulaya unafanya mchakato wa kuanzisha jeshi la kuaminika nchini Mali, ambako waasi wenye itikadi kali ya Kiislamu wamelidhibiti eneo la kaskazini baada ya mapinduzi ya kijeshi nchini humo.
Ha ha ha mkuu uko Dunia Gani 🤣🤣🤣🙄⁉️Kweli mkuu una uhakika?
Duuuh kumbe kuna vita inaendelea huko duniani😂😂😂😂🤐Mali wamekaribisha Mrusi na kuondoa takataka
Ni hivi mkuu kama wangeweza kumpa misaada direct wasingefikia kufanya uamuz mgumu hiv ,ishu inayosadikika ni kuwa baada ya kujiunga na kupata status ya EU membership ,umoja wa ulaya kupitia policy yake ya ulinzi itaunda operation maalumu dhid ya kumlinda mwanachama mwezao ,ukumbuke pia member weng wa EU wako NATO hivyo wanaamini kabisa lazima Russia itarespond ,ni kama mtego maana Russia hatua yoyote ya kijeshi atakayotumia dhid ya EU inaweza ikaigusa NATO ,na hapo ndipo wanamtaka puttin ajichanganye aguse NATO member yoyote.ili wapate sababu ya kuingia direct ,maana hii vita bila kuingia direct Ukraine hataweza hata akisaidiwa vipi .
Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mtu mzima hatishiwi nyauHawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.
Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.
Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.
Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.
Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
Kwamba tunawategema urusi kwa chakula?
Chakula kipi? Mimi nalima hapa nina mashamba kibao ya aina zote za mazao.
Hicho chakula kutoka urusi ni kipi?
Marekani na urusi siyo mbali. Unawezabkwenda hata kwa mtumbwi wa kasia ukafikaHuyu ni mmarekani yy yuko mbali anachochea wenzake...
Hivi hadi leo nato bado wanaendeleza vita ya maneno😁😁Mrusi kashaingia kwenye Target muda tu, ninachowapendea Ulaya hua wana mpango mkakati wa muda mrefu sana alikua anatafutwa panya wa kumfunga paka kengele ambaye ni Ukraine.
Baeleze,
Ushabiki maandazi ni ujinga, yaani mtu anaona kuwa Russia yuko sahihi wakati anachofanya ni ubakaji.
Jewe hakufika level hiyoHiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.