Ni hivi mkuu kama wangeweza kumpa misaada direct wasingefikia kufanya uamuz mgumu hiv ,ishu inayosadikika ni kuwa baada ya kujiunga na kupata status ya EU membership ,umoja wa ulaya kupitia policy yake ya ulinzi itaunda operation maalumu dhid ya kumlinda mwanachama mwezao ,ukumbuke pia member weng wa EU wako NATO hivyo wanaamini kabisa lazima Russia itarespond ,ni kama mtego maana Russia hatua yoyote ya kijeshi atakayotumia dhid ya EU inaweza ikaigusa NATO ,na hapo ndipo wanamtaka puttin ajichanganye aguse NATO member yoyote.ili wapate sababu ya kuingia direct ,maana hii vita bila kuingia direct Ukraine hataweza hata akisaidiwa vipi .