Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Hujui maana ya Special Millitary Operation eeh..

Special military operation kweli???

1655796389-151.jpg
 
Mzee kama EU wamechoka kuishi au wameichoka dunia bhs wajidanganye kuingia vitani na Russia nahis watoto wetu kwenye history watakua wanafundishwa kulikua na bara linaitwa ulaya”

Hakuna nchi Ulaya inayoweza pigana na Russia direct hata US mwenyewe hana huo ubavu. Mnajua wengi mmedanganywa na propaganda za west kuhusu majeshi yao ila kiuhalisia ni kawaida sana.

Wengi wenu humu mmeanza kuijua Russia wakati wa kipindi hiki cha mgogoro na Ukraine.

VITA PEKEE EU WANAYOWEZA NI VIKWAZO.
Akili za Watanzania hata shetani anazishangaa😄😄😄
Huyu huyu Mrusi ambaye anahenyeshwa na ka nchi kama Ukraine ? Au mwingine?
 
Endelea kuota dada, hao shoga zako wataonea nchi maskini tu lakin kwa hzi nchi Russia, china, Iran, NK hawana ubavu wa kupambana nao zaidi ya vikwazo.

Mnaichukulia sana poa RUSSIA
 
Urusi keshaingia Cha kike, lazima achuchumae.
 
Mkong'oto upi, jameni kila nikikaa nilinganishe Urusi ambayo niliiskia miaka yote na hii nabakii kushangaa sana, kainchi kadogo pembeni walipaswa wawe wamekafunika na kusimika uongozi wao unaoimba wimbo wa taifa wa Urusi.
Leo wameishia kuburuzana huko kwenye tumiji twa mipakani, naomba mtu yeyote mwenye akili timamu aitazame hii picha mara kumi na kupata aibu...
Kila nikiitazama yaani nashangaa sana

where-are-ukraine-&-russia.jpg
Kaka iko wazi kuwa urusi hajaingia kwenye vita na Ukraine, hii ni operesheni maalumu.
Urusi amewa treat Ukraine ki gentle sana.
1. Wanajeshi waliopelekwa Ukraine unaweza kuta hata kamandi 5 hazifiki.
2. Urusi kawa mkarimu hata kwa wenyeji wa ukraine, kuna video unaona kabisa wakazi wa ukreini wakiwazomea na kuwatupia madude gani yale yako kama mabomu ambayo ukreini ni maarufu nayo, lakini most of them walikuwa left unpunished. Kama kweli urusi angetaka kumaliza hii shughuli mapema nadhani ukreini sasa hivi ingekuwa na wakaz wachache sana. The operesheni is slow advancing but sure.
3. Zana anazotumia urusi ni zle za kizamani sana ukilinganisha na vifaa alivonavo, kuna wakati alitumia hypersonic missile watu mkaanza kelele nyingi
4. Urusi anauwezo wa kuifuta ukrein ndani ya siku moja ni vile tu ana huruma na wadogo zao wanaoshea vinasaba
 
lete hoja acha porj

Imebidi nikupuuze maana nabishana na mshamba nikishaona mtu unacharacter za kishamba kama hizi. Dogo unaonekana mahaba US yamezid sana mtu upo Igunga ndani ndani huko ila location umeweka NY[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Huu ni ushamba sana siwezi kuendelea kubishana nawewe manake kila tutakaloongea hapa tutapoteza muda tu. Mr NY[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_3938.jpg


Mtu mwenye hizi mambo namchukuliaga mshamba sana[emoji38][emoji38]
 
Mabeberu wanajua kucheza na muda sana. Mpk sasa Mrusi bado hajachukua nchi.
Kinachofanyika Ukraine atapewa silaha, hapo vita itachukua muda mrefu sana kwahiyo Mrusi hii itamuathiri kwasabb atatumia pesa nyingi sana kwenye vita.
Putin kacheza karata mbovu sana. Alikuwa ana mpango wa kuichukua Ukraine lkn ameshaikosa. Kameingia EU nini kinafuata?
Urusi anapigwa taratibu kama Libya. Gadhafi alifikiri anapigana na wanalibya kumbe na nchi za Magharibi
Vichekesho kama hivi tubonyeze ngapi?
 
You are unquestionably a brilliant person, lakini wakati mwingine sijui analytical mind yako inaingiliwa nini!!!

Ni hivi: Military GURUS wa Ulaya na US walisha sema mara nyingi tu, kwamba jeshi la Russia alikuwa na mpago/nia ya kuteka jiji la Kiev - convoy ya jeshi la Urusi uliyo kwenda kwenye viunga vya mji wa Kiev ilipelekwa pale mahususi kama decoy ili kumfanya Zelensky ahamishe idadi kubwa ya wanajeshi wake kutoka kusini mwa Ukraine kuja kaskazini kuongeza ulizi wa ku-defend Kiev - Zelensky na washauri wake wa mataifa ya magharibi waliamini kabisa kwamba Putin amepania kuuteka mji wa Kiev-kumbe hiyo si kweli - Putin alicho fanya ni kuwachezea akili Ukraine top brass military war planers ili wapunguze nguvu za ulinzi kusini mwa Ukraine kwa kuzihamishia kaskazini kulinda mji wa Kiev na viunga vyake - Putins plan worked well,ndio maana wanajeshi wa Russia wali-withdraw banda ya lengo lao kukamilika,lakini western media wanasema eti jeshi la Ukraine ndilo lilifanikiwa kuwaondoa wanajeshi wa Russia kwa kuwashinda - hiyo si kweli,waliondoka kwa hiari yao.

As I said, Putins plan paid off eventually ndio maana wanajeshi wake wamefanikiwa kuteka sehemu kubwa ya kusini mwa Ukraine yenye wakazi wengi wenye asili ya Urusi,lengo la Putin kuingia vitani ilikuwa ni kuwakomboa raia wa kusini mwa Ukraine walio kuwa wananyanyaswa na kubaguliwa na Serikali ya Zelensky na jeshi la AZOV ambalo ni neo NAZI - narudia kukumbusha kwamba Putin hana mpango wa Kuikalia Ukraine wala kuteka Kiev,anacho taka kwanza ni kuhakikishiwa usalama wa Taifa lake pia na kuwalinda Waukraine wenye asili ya Russia ili wajitawale - ukweli huo mbona unajulikana lakini media za magharibi zinaeneza propaganda zenye lengo la ku-demonise Putin ili aonekane ni a seasoned aggressor na wewe ni part and parcel of this dirty game, kumbuka Putin anaongozwa na Mungu kupambana na Mataifa ambayo yanijifanya ni Miungu wa Dunia -wanayanyasa mataifa ambayo ni military weak,kugawa Dunia kwenye makambi ya ajabu ajabu na kuwafanya watu/mataifa yasielewane-vurugu mwanzo mwisho.
Wewe ni mtu mjinga na wa ajabu sana serious ndo umeandika ugoro gani apa mze yaani najaribu kuuficha ukweli kwamba Urusi hakubondwa kule kiev serious mzee ama kweli una mahaba na Putin
 
Mkuu hii uliyotaja ni formality tu lakini nyuma ya pazia hali ndivyo itakavyokuwa, kwani saivi mbona EU na Marekani wanaisaidia silaha Ukraine, wanaisaidia kwa umoja wao upi?? taja.,
NATO. Ndio maana husikii nchi nje ya NATO wanapeleka silaha. Ushasikia Swedeen au Finland kapeleka silaha?
 
Wala siyo kweli. Putin hana uwezo huo kwasasa. Kiufupi hii vita urusi alikurupuka
Una kitu gani cha kuchukua Ukraine? Marekani atabaki kuwa Superpower country miaka 1000.
Unapigana vita ili uonekane una silaha kali sana. Putin hana akili aisee

Kaka iko wazi kuwa urusi hajaingia kwenye vita na Ukraine, hii ni operesheni maalumu.
Urusi amewa treat Ukraine ki gentle sana.
1. Wanajeshi waliopelekwa Ukraine unaweza kuta hata kamandi 5 hazifiki.
2. Urusi kawa mkarimu hata kwa wenyeji wa ukraine, kuna video unaona kabisa wakazi wa ukreini wakiwazomea na kuwatupia madude gani yale yako kama mabomu ambayo ukreini ni maarufu nayo, lakini most of them walikuwa left unpunished. Kama kweli urusi angetaka kumaliza hii shughuli mapema nadhani ukreini sasa hivi ingekuwa na wakaz wachache sana. The operesheni is slow advancing but sure.
3. Zana anazotumia urusi ni zle za kizamani sana ukilinganisha na vifaa alivonavo, kuna wakati alitumia hypersonic missile watu mkaanza kelele nyingi
4. Urusi anauwezo wa kuifuta ukrein ndani ya siku moja ni vile tu ana huruma na wadogo zao wanaoshea vinasaba
 
Mimi nachoona hapa ni anguko la EU huwezi kuingia vitani na mtu ambae kabla hujapigana nae una shortage ya chakula na nishati,trust me hiyo ni danganya toto naona kuinuka kwa utawala wa mrumi unanukia.
 
Back
Top Bottom