Tunaomba Mungu Ukraine apewe membership afu tuone EU watakachofanya. Nasubir kwa hamu sana.
Before operation mlisema Russia hawezi ingia Ukraine mlipiga kelele zote mara NATO wameweka mtego ambao ni ukraine aingie anase ila mwisho wa siku wamepiga kelele weee lakin hakuna Action yoyote zaid wanatuma silaha lakini hazina impact kwa Russia.
Sahv mmeanza tena kelele Ukraine aingie EU ili asaidiwe lakin nakuambia mpaka Russia anamaliza Operation yake Ukraine hata ingia EU na hakuna chochote EU watafanya wakiongozwa na shoga yao US.
Russia hajalala mkuu the way West wanapanga against Russia pia VISEVERSA is true. Never Underestimates the power of Russia. Hawa jamaa wamejipanga sana West walikurupuka sana walifikiri vikwazo vitamtoa kwenye raman Russia kumbe ndo vimekua moto kwao.
HAKUNA nchi Ulaya ya kuingia kwenye vita na Russia direct hakuna, EU wanamtegemea US na US hawezi pigana na Russia
. Hapo ndo mjue kwanini mataifa 30 yanahangaika na kataifa kamoja Russia