Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua ni timu Urusi ila Putin hana akili.
Sasa hivi vita ni biashara. Unapigana vita ili uonekane una silaha nyingi za kisasa? Unapigana na Ukraine ili uchukue nini. Hasara kubwa sana hii
Marekani ataendelea kuitawala dunia miaka buku kwasabb inaongozwa na mawazo ya watu wengi. Hata akipewa uraisi mtoto mwenye umri wa 10 bado ataongoza tu.
Nchi zinazoongozwa na mawazo ya mtu mmoja ni majanga sana.
Hili jamaa ni pocho.Mpaka Sasa hujapata hata like Moja jitafakari.
Kumbe wewe pocho hivi!!!!Mkuu hebu tafakari Tangazo la urusi kwamba Rafiki Yeyote wa Adui yangu ni adui yangu na Atakaye Msaidia Atakiona cha mtema kuni!
Huoni nchi za AU wamepuuza mkwala wa Putin na kuisaidia Ukreine?!
Huoni Mapuuza hayo ya AU ni Utayari kwa lolote??
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Bwana Champagnee, champagne ni pombe, bila shaka unapenda ulevi sana na hapa umeandika umelewa.Unauliza alichochukua Russia ukraine? Mpaka sasa Russia anamilikia 30% ya eneo la Ukraine tena potential areas yes tunazungumzia bandari, kilimo na nishati kwa Ujinga wa comedian wenu sahv ananunua umeme wake ambao unashikiliwa na Russia. Sasa hii ni akili au matope.?
Kosa kubwa la Ukraine kuiamin US hapa ndo alifeli walimpa kiburi mwisho wa siku wamemwacha na maeneo yanamegwa juzi hapa wamemwambia akubali kuyaacha maeneo aliyochukua Russia ili operation iishe ila kakaza bado eti tutayarudisha.
Kuhusu America kuitawala dunia bado hajafanikiwa bado anakutana na upinzani kutoka Russia, china, NK nk hao EU ndo wamekubali kushikwa MATACORE na US. US anataka kuitawala dunia kishetani atuletee masuala ya NWO naam hayo mambo ya ushoga anayohangaika kuyaeneza unafikiri ni nini?? Na mnachekelea tu, nenda kaisome NWO vzr utapata mwanga otherwise nitakua natwanga maji kwenye kinu.
Hakuna jambo lilisokua na mwisho wala hakuna marefu yasiyo na ncha. Zilipita falme za maana enzi hzo zilianguka sembuse US ambaye ni mchumba tu hivi mzee kuna falme za kutisha zilianguka tunaanzia na wamedi na waaajemi, kulikua na wagiriki, warumi kuna akina Ottoman Empire wote walianguka.
Unafahamu kuwa uchumi wa US upo kwenye karatasi naam nazungumzia [emoji385] hapa ndo kiburi chake kilipo na hapa ndo uchumi wake ulipo. US anaprint pesa anajaza kule IMF mkakope nyie ndo mnamweka mjini. Ndomana tunamwita Mr. Canon wanaprint pesa wanapojiskia wanawapa afu mnawaona kila kitu maskin Africa[emoji1316]. Wametumia uhuni kuforce transactions zote za kimataifa tutumie dollar unajua why??? Inshort dollar ndo uchumi wao kidogo nakupiga msasa, soma kitu kinaitwa Fiat money na stable currency.
Russia amesha switch kwenda kwenye pesa yake Ruble, Saudia wameshaingia mkataba na china watatumia yuan, India naye amesema atauza bidhaa zake kwa rupee. Nchi karibu zote za uarabuni zinaipiga dollar chini sasa tunarudi mezani unajua impact yake???
Unajua transactions za matrillion zinafanyika kwenye nishati hasa oil, gas nknk kama tunatumia Ruble, yuan nknk unajua ni impact gani inakwenda tokea kwenye dollar?? Nchi dunian zimeamka zimechoka dhuluma ya US kawaua ndugu zetu gaddafi kisa jamaa alitaka kuswitch kwenda gold kuachana na dollar. Yote coz uchumi wake upo kwenye dollar hana JAMBO.
Nimekupa picha kidogo ujue ukweli kuhusu hao unaowaabudu ila kipindi hiki kakutana na kisiki cha mpingo. Dunia ya sasa inataka usawa na sio uwizi na unyang’anyi wanakwapua mali za Africa wanaleta migogoro ili mambo yao yafanikiwe bado wanawapa masharti mkubali ushoga sasa haya yote ni nini?
Utawala wa USA utaanguka. Tawala kubwa na za hatari zilipita kama upepo sembuse US na hizi ni dalili tu.
Bwana Champagnee, champagne ni pombe, bila shaka unapenda ulevi sana na hapa umeandika umelewa.
Kawaida ya Champagnee waga inamwaga povu jingi ikifunguliwa, hiki ulichokiandika ni sawa kabisa na povu la champagne, kwahiyo mimi naona ukukosea kujiita Champagnee.
Kinachosikitisha ni kwamba umetoa mada ila hujui tofauti ya NATO na EUHawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.
Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.
Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.
Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.
Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
[emoji16]Bwana Champagnee, champagne ni pombe, bila shaka unapenda ulevi sana na hapa umeandika umelewa.
Kawaida ya Champagnee waga inamwaga povu jingi ikifunguliwa, hiki ulichokiandika ni sawa kabisa na povu la champagne, kwahiyo mimi naona ukukosea kujiita Champagnee.
Dah kazi ipo [emoji16]Hiki kipindi walikadilia vizuri sana kumpunguza Magufuli angekutana nacho hakika dunia ilikua inaenda kuona mabadiliko makubwa ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla alale salama Dkt. John Pombe Magufuli.
It's possible, ngoja tusubiri tuone.Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.
Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.
Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.
Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.
Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
Baadhi inawezekana kweli, lakini mengine siyo rahisi.Unauliza alichochukua Russia ukraine? Mpaka sasa Russia anamilikia 30% ya eneo la Ukraine tena potential areas yes tunazungumzia bandari, kilimo na nishati kwa Ujinga wa comedian wenu sahv ananunua umeme wake ambao unashikiliwa na Russia. Sasa hii ni akili au matope.?
Kosa kubwa la Ukraine kuiamin US hapa ndo alifeli walimpa kiburi mwisho wa siku wamemwacha na maeneo yanamegwa juzi hapa wamemwambia akubali kuyaacha maeneo aliyochukua Russia ili operation iishe ila kakaza bado eti tutayarudisha.
Kuhusu America kuitawala dunia bado hajafanikiwa bado anakutana na upinzani kutoka Russia, china, NK nk hao EU ndo wamekubali kushikwa MATACORE na US. US anataka kuitawala dunia kishetani atuletee masuala ya NWO naam hayo mambo ya ushoga anayohangaika kuyaeneza unafikiri ni nini?? Na mnachekelea tu, nenda kaisome NWO vzr utapata mwanga otherwise nitakua natwanga maji kwenye kinu.
Hakuna jambo lilisokua na mwisho wala hakuna marefu yasiyo na ncha. Zilipita falme za maana enzi hzo zilianguka sembuse US ambaye ni mchumba tu hivi mzee kuna falme za kutisha zilianguka tunaanzia na wamedi na waaajemi, kulikua na wagiriki, warumi kuna akina Ottoman Empire wote walianguka.
Unafahamu kuwa uchumi wa US upo kwenye karatasi naam nazungumzia [emoji385] hapa ndo kiburi chake kilipo na hapa ndo uchumi wake ulipo. US anaprint pesa anajaza kule IMF mkakope nyie ndo mnamweka mjini. Ndomana tunamwita Mr. Canon wanaprint pesa wanapojiskia wanawapa afu mnawaona kila kitu maskin Africa[emoji1316]. Wametumia uhuni kuforce transactions zote za kimataifa tutumie dollar unajua why??? Inshort dollar ndo uchumi wao kidogo nakupiga msasa, soma kitu kinaitwa Fiat money na stable currency.
Russia amesha switch kwenda kwenye pesa yake Ruble, Saudia wameshaingia mkataba na china watatumia yuan, India naye amesema atauza bidhaa zake kwa rupee. Nchi karibu zote za uarabuni zinaipiga dollar chini sasa tunarudi mezani unajua impact yake???
Unajua transactions za matrillion zinafanyika kwenye nishati hasa oil, gas nknk kama tunatumia Ruble, yuan nknk unajua ni impact gani inakwenda tokea kwenye dollar?? Nchi dunian zimeamka zimechoka dhuluma ya US kawaua ndugu zetu gaddafi kisa jamaa alitaka kuswitch kwenda gold kuachana na dollar. Yote coz uchumi wake upo kwenye dollar hana JAMBO.
Nimekupa picha kidogo ujue ukweli kuhusu hao unaowaabudu ila kipindi hiki kakutana na kisiki cha mpingo. Dunia ya sasa inataka usawa na sio uwizi na unyang’anyi wanakwapua mali za Africa wanaleta migogoro ili mambo yao yafanikiwe bado wanawapa masharti mkubali ushoga sasa haya yote ni nini?
Utawala wa USA utaanguka. Tawala kubwa na za hatari zilipita kama upepo sembuse US na hizi ni dalili tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Bwana Champagnee, champagne ni pombe, bila shaka unapenda ulevi sana na hapa umeandika umelewa.
Kawaida ya Champagnee waga inamwaga povu jingi ikifunguliwa, hiki ulichokiandika ni sawa kabisa na povu la champagne, kwahiyo mimi naona ukukosea kujiita Champagnee.
Utaanza na mm kuniajiri chief[emoji16]Wale miaka yote walikuwa wanajiita wa Ukraine sasa wanasema tunarudi kwetu Israel
Ifike wakati Africa isaidiane kibiashara zaidi kwa kila kitu sio kutafutiana uchawi kuwa waacheni wapigane na sisi tuwauzie chakula
Maneno ya Rais mmoja alikuwa na roho ngumu huyo
Vita ikitokea tujiandae Ulaya kuwa na maisha magumu zaidi
Leo hii angalia [emoji636] bei ya diesel imefika £2 kwa lita (6,000)
Haijawahi kutokea
Hapa nasubiri vita vianze niibe meli moja nije nayo bongo nianze biashara na sitanii I will do it [emoji23]
Nani anataka ajira?
Unaona akili zako ? Tuna ardhi tunauza chakula Kenya, Uganda, congo mpaka Rwanda afu tuwategemee kwa chakula? Una akili kweli? Nje na ngano ambayo ni dili la Ccm ni chakula gani kinatoka kwao?Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.
Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.
Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.
Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.
Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
Na urusi walipoanza mashambulizi walisemaje na sasa ni muda gani umepita,mkwara dhidi ya wanaomsaidia m-ukraine amewafanya nini? Acha ku-analyse kiswahili swahili.Hao west wataruka ruka kote ila Russia lile taifa wanaliheshimu, kwani kabla Russia hajaingia ukraine walisemaje?? Na wamefanya nini
NATO- NO ACTION TALK ONLY
Utaanza na mm kuniajiri chief[emoji16]