Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.

Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.

Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.

Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.

Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
Oooh sawaa,wache wajichanganye maana naamini mzee Put-in aliliangazia hilo or vise versa.
Pia mkuu,warusi nao ni wazungu 🙂🙂🙂
 
japo mimi ni pro NATO but bado sijaona nchi yoyote ya ulaya itakayokuwa tayari ku risk maisha ya wananchi wake kwa ajili ya Ukraine..vita zote mbili za dunia zimetoa fundisho kubwa juu ya madhara ya vita
Yale ya Hiroshima na Nagasaki yametoa fundisho kubwa kwa madhara ya nyuklia.

Mtu mwenye nyuklia lazima uende nae kwa tahadhari Sana, MDA wowote anatibua upepo.

Ndo maana North Korea, Iran na kwingineko kwenye nyuklia

yule jamaa aliejipa ukiranja wa dunia anaishia tu kupinga kelele, ila kwenda front vitani kuvamia hawezi.

Naamini hata sisi Tanzania,
Mama Samia akianza kutengeneza makombora ya nyuklia hakuna kenge ataleta za kuleta[emoji28]
 
Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Tayari kuna nchi zimeanza kurisk,mfano Poland,wanapitisha silaha kumpelekea Ukraine silaha hizo zikitokea nci za NATO,hiyo ni sababu kubwa itakayopelekea Urusi kupigana na nchi za NATO moja kwa moja,kama wachangiaji wengine wa huu uzi walivyoamdika,tumuombe MUNGU kwa juhudi zote hii vita iishe,uchumi Urusi kwenye hali ya kawaida.
 
Please revisit your skewed comments - kujibu jibu ovyo JF members, agree to disagree without offending anyone - Kama uwezi kutumia kauli za kistaarabu, basi hapa hapakufahi tafuta social media nyingine zinazo entertain abrasive language - Goodday.
unajua kusoma mkuu ? ebu rudia tena kusoma nlichoandika hlf jiite kilaz kimya kimya , bila kuwepo alama ya kuuliza ila sentens inaonesha inauliza , ss umeitwa jina gan baya
 
Hakuna nchi inapemda kuingia vitani na Urusi kamwe. Kumbuka vita ya nyuklia hainaga mshindi. Ukipigwa moja madhara yake ni milele ukifanikiwa kulitungua madhara bado ni yaleyale kwa maana ya radiations. Utapunguza vifa vya mlipuko tu.

Pili kumbuka sehemu kubwa ya vita ya ukraine urusi ametumia maboom ya 1960s kwa kuyafanyia marekebisho kidogo na umesikia malalamiko kwa jeshi la Ukraine.

Pia umeona jinsi amekuwa anatumia precision misilles kupiga strategic areas na matoleo yake. Hivyo hakuna nchi ipo tayari kwa sasa kupina na Urusi.

Kinachofanyika ni kumchosha Urusi kiuchumi kitu ambacho nacho wameshindwa maana mafuta na gasi vimedouble kipato cha Urusi pili fedha yake imepanda sana thamani

Tatu Urusi imeongeza soko kwa kupunguza soko sehwmu zingine hasa mafuta na gas lakini pia uchumi wa wapinzani wake unazidi kuyumba, mfumuko wa bei upo juu sana, na tayari viongozi wa nchi wameanza kupigwa chini au kupigiwa kura ya kutokuwa na imani nao
hata zama za Hitler walisema ivyo
 
Mzee kama EU wamechoka kuishi au wameichoka dunia bhs wajidanganye kuingia vitani na Russia nahis watoto wetu kwenye history watakua wanafundishwa kulikua na bara linaitwa ulaya”

Hakuna nchi Ulaya inayoweza pigana na Russia direct hata US mwenyewe hana huo ubavu. Mnajua wengi mmedanganywa na propaganda za west kuhusu majeshi yao ila kiuhalisia ni kawaida sana.

Wengi wenu humu mmeanza kuijua Russia wakati wa kipindi hiki cha mgogoro na Ukraine.

VITA PEKEE EU WANAYOWEZA NI VIKWAZO.

Iraq napo mlisemaga hivi hivi
 
He mkuu ni wewe uliandika hivi au uliamkia yale mambo yetu asubuhi, sasa Ukraine tu mwezi wa 5 huu Russia bado yuko vijiji vya pembeni mara anajitangazia kuvichukua mara anafurushwa unafikiri NATO na EU waingie fully si Russia litabaki jangwa tu
Russia ingekua weak wangekua wameshaingia kitambo sana mnachukulia vitu kirahisi sana
 
Mimi nachoona hapa ni anguko la EU huwezi kuingia vitani na mtu ambae kabla hujapigana nae una shortage ya chakula na nishati,trust me hiyo ni danganya toto naona kuinuka kwa utawala wa mrumi unanukia.
Mrumi ni nani?
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Tayari kuna nchi zimeanza kurisk,mfano Poland,wanapitisha silaha kumpelekea Ukraine silaha hizo zikitokea nci za NATO,hiyo ni sababu kubwa itakayopelekea Urusi kupigana na nchi za NATO moja kwa moja,kama wachangiaji wengine wa huu uzi walivyoamdika,tumuombe MUNGU kwa juhudi zote hii vita iishe,uchumi Urusi kwenye hali ya kawaida.
Umeelewa mleta mada alichosema?Basi waambieni NATO wamsajili kidharura Ukraine Ili basi hiyo vita iwe rasmi ya NATO vs Russia!
Ndicho anachosema mleta mada,kwamba EU inampa umember Ukraine Ili Sasa impe ulinzi dhidi ya Russia!
Ndio nikasema,jambo Hilo haliwezi kutokea wakati Ukraine Yuko kwenye vita tayari!
 
Ila Wakenya akili zenu sijui mlipelekaga wapi asee, [emoji1316]. Tunajua wakenya ni washika buti wa US akianguka uyo Mr. Canon hamna chenu. Poleni
Tanzania mnaitegemea Urusi au China?
 
Zelensky alianza kukiri hali mbaya tangu siku ya kwanza, kuna hata siku alisema inawezekana hii ikawa simu yake ya mwisho, sote tuliogopa sana maana tulidhani Urusi iliyokua inasifiwa miaka yote ndio yenyewe kumbe upuzi tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zele fala sana
 
Waue raia wote? Hapana, operation itaenda slow but sure. Yote ni kuepuka madhara kwa raia wasio na hatia.

Mrusi huwa hachagui namna anapiga, hupiga mabomu kila kitu kwa alivyo mwoga na ndio mojawapo wa sababu imelazimu Ukraine kuachia baadhi ya sehemu ili kuepuka mauaji kwa watu wao.
 
Mrusi huwa hachagui namna anapiga, hupiga mabomu kila kitu kwa alivyo mwoga na ndio mojawapo wa sababu imelazimu Ukraine kuachia baadhi ya sehemu ili kuepuka mauaji kwa watu wao.
Kweli wee mkenya ni kiazi aisee unaisi kunyang'anywa maeneo ni rahisi yale ndyo hayarudi tena imetoka iyoo
 
Hivi unadhani nchi gani ya EU Iko tayari kurisk kuwa kwenye vita na Urusi?
Hilo jambo haliwezi kutokea na litapingwa na member states wengi!
Taasisi za siri ndizo zipo nyuma ya hili.
Wakuu wote wa nchi zote duniani nao uongozwa.
Mrusi atachapwa tu tena vizuri,si anajivunia visima vyake vitalipuliwa kimoja baada ya kimoja Ili kunyongonyeza petrodollar yake. Hivi Vita ni vya mda mrefu na wao ndio waliomwambia Ukraine ajiunge Nato. Mrusi angetambua mtego huu angeiachia Ukraine. Mistake ilishafanyika zamani kwa wao kukubali kuongozwa na raisi mmarekani Michael Gobatchov.
 
Kweli wee mkenya ni kiazi aisee unaisi kunyang'anywa maeneo ni rahisi yale ndyo hayarudi tena imetoka iyoo

Angenyang'anya Kyev ningemuona kweli ni Mrusi ambaye huogopwa na kweli ndiye tegemezi la Waarabu wa kweli, ila anahangaika na tumiji twa hukooo!! Na twenyewe tunamtesa hadi basi.
Kuna mataifa hunyang'anywa hadi mji mkuu, tazama namna Marekani hupiga.....
 
Back
Top Bottom