Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Haya mahesabu ya Wazungu dhidi ya Urusi ni hatari

Pro NATO bado wanaishi kwenye zama za Mfalme Njozi 😂😂😂 wanafikiri Marekani ndio Mungu wa hii dunia.

Game isha change and there is no going back.
Waache wakina ARISTOTE wazee wa vikao waendelee kuunda vikwazo kwenye bunge lao la mchongo.

Wazee wa Brics wamesema kazi iendelee 😂 no more New World Order ikibidi dunia isiwepo tu. Tutafumuana hata Iskander na Satan.
What a splendid comment - bravo.

Hata mimi nawashangaa some JF members ambao wanashindwa kuona beyond their noses - hawana habari/hawaoni kwamba Dunia imeanza kushuhudia the beginning of the end ya Global influence ya Uncle SAM na vassals wake in particular a very vocal UK - mataifa mengi Duniani yatajiunga na camp iliyo anzishwa hivi sasa Camp inayo heshimu binadamu wenzao kwa kuwatendea haki, camp ambayo hawana jadi ya kupenda penda vita.

Personally I think Western leader never saw it coming, nina hakika US itajaribu sana kuhujumu BRICS lakini watashindwa miserably God willing.
 
Pro NATO bado wanaishi kwenye zama za Mfalme Njozi 😂😂😂 wanafikiri Marekani ndio Mungu wa hii dunia.

Game isha change and there is no going back.
Waache wakina ARISTOTE wazee wa vikao waendelee kuunda vikwazo kwenye bunge lao la mchongo.

Wazee wa Brics wamesema kazi iendelee 😂 no more New World Order ikibidi dunia isiwepo tu. Tutafumuana hata Iskander na Satan.
What a splendid comment - bravo.

Hata mimi nawashangaa some JF members ambao wanashindwa kuona beyond their noses - hawana habari/hawaoni kwamba Dunia imeanza kushuhudia the beginning of the end ya Global influence ya Uncle SAM na vassals wake in particular a very vocal UK - mataifa mengi Duniani yatajiunga na camp iliyo anzishwa sasa hivi inayo heshimu binadamu wenzao na kutendewa haki, camp ambayo hawana jadi ya kupenda penda vita. Western leader never saw it coming, nina hakika US itajaribu sana kuhujumu BRICS lakini watashindwa miserably God willing.
 
Pro NATO bado wanaishi kwenye zama za Mfalme Njozi [emoji23][emoji23][emoji23] wanafikiri Marekani ndio Mungu wa hii dunia.

Game isha change and there is no going back.
Waache wakina ARISTOTE wazee wa vikao waendelee kuunda vikwazo kwenye bunge lao la mchongo.

Wazee wa Brics wamesema kazi iendelee [emoji23] no more New World Order ikibidi dunia isiwepo tu. Tutafumuana hata Iskander na Satan.
Kuna pro Russia hapo juu anasema mungu wenu Russia anaweza kuifuta Ukraine ndani ya siku moja [emoji38][emoji38][emoji38], anaifananisha mungu wenu Russia na Mungu wetu wa mbinguni mwenyewe uwezo wa kuifuta Ukraine ndani ya siku moja.
 
Hizo chapati unazokula kila siku baba yako ndio analima hio ngano?
Analima shangazi yako, kwanza chapati ni kitu gani?
Hizo chapati unazokula kila siku baba yako ndio analima hio ngano?
mimi ninakula viazi vitamu, mihogo,magimbi, kunde,choroko,njugu mawe, ugali wa mtama,uwele na ugali wa mhogo. Hizo chapati mnakula wewe na babako.
 
Putin alisema nchi yoyote itakayotoa msaada kwa Ukrain itapata cha moto
mwisho wa siku nchi kibao wametoa silaha kwa Ukrain means walikuwa tayari kwa lolote

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app

Nakupa mfano mdogo tu hapa ndo nitajua hicho kichwa unafugia meno na nywele au laah.

Kupeleka silaha sio ajabu kwanza ile ni biashara na silaha haziend bure atakuja kulipa. Uliona alichokifanya Russia Pale syria na Venezuela?? Pale ndo kuingilia vita isiyo yake, narudi kwako je US alifanya nini baada ya Russia kuingilia hzo vita??

Na Russia alitangaza wazi akaingia kilotokea nini?? Sasa na US pamoja na shoga zake waingie Ukraine kama alivyofanya Russia tuone uanaume wao sio kupiga kelele kama za mbwa koko. Tunataka waingie direct na sio indirect.

Russia anapambana peke yake pale Ukraine naomba nitajie vita ambayo US alipigana peke yake bila NATO.
 
Hawa jamaa leo wanataka kufanya jambo la kihistoria yaani kumwingiza Ukraine kwenye umoja wa Ulaya kama V.I.P membership wiki hii, kumbuka kuwa membership huchukua had miaka 5, hivyo Ukraine anapita directly bila mlolongo.

Kwa nini wanafanya hivi? Nia kubwa ni kutaka kuingia kumchapa mrussi direct, hili liko wazi kabisa, Mrusi anatafutwa akae kwenye Target.

Tuombe sana Mungu moyo wa Putin ashushe ghadhab dhid ya Ukraine maana itakua vita ya kihistoria.

Kumbuka Mkuu wa Majeshi wa Uingereza alitangaza majuzi kuwa ni wakati wa Ulaya kujiandaa kwa vita.

Mungu atusaidie tu maana tunawategemea sana Urusi na Ukraine kwa chakula na nishati.
Wamejaribu mbinu zote wamekwama!
wamebaki kupiga umbea tu
 
Ji

Jidanganye sasa! Mwambie arushe hata kombora moja tu pale Poland ambae ni member state wa NATO aone. Unazani hii kitu imeanza kupangwa leo? Unazani kwa nn Urusi haikutaka mama Clinton awe rais? Unajua kwa nn Urusi hataki NATO iendelee kujipanua kuelekea East? Ni mtanzania pekee na sio mrusi mwenyew anayeweza kuamini kuwa Urusi inaweza kupigana vita na jumuiya ya NATO na ikashinda. Uwe unaangalia hata takwimu za kibajeti za ulinzi angalau zitakupa mwanga pa kuanzia....! Hicho unachokiamini kuhusu Putin ndo walivyoamini watu kuhusu uwezo wa Saddam Hussein na ndicho wanachoamini watu kuhusu Korea Kaskazini huu ndo utaratibu wa nchi za kidikteta kutumia nguvu kubwaaaa kuhadaa umma wa nchi zao na dunia kwa ujumla kwamba wana uwezo uliopitiliza wa nguvu za kijeshi. Hata kinachoendelea pale Ukraine leo Urusi hakupenda ila hana budi kujitetea na kujilinda ili kuzuia kuzunguka na NATO kila upande. NARUDIA NI MTANZANIA PEKEE NDIYE ANAYEAMINI KUWA URUSI INAWEZA KUPIGANA NA JUMUIYA YA NATO NA URUSI IKASHINDA NA PUTIN AKAENDELEA KUWA MADARAKANI. Over

Kichwa chako bado cheupe sana ndugu yangu. Kwahiyo kwa akili zako unafikiri Russia hajui wewe unajua?? Unafikiri alikurupuka kama wewe ulivokurupuka kuandika pumba hzi?? Mwaka huu mtakufa kwa BP kama mlizoea kuonea libya, iraq, safari hii mmekutana na kisiki cha mpingo.

Kama nyinyi ni wanaume pelekeni jeshu Ukraine na sio kelele.
Afu hzo kelele zenu eti Russia arushe kombora Poland hzo siasa zenu ni za kitoto kwanini nyie msirushe kombora pale moscow au simple kwanini msiingie direct??

Ni mtanzania pekee wa tandahimba anayeamini NATO itaingia vitani na Russia kamwe hakuna mwenye uthubutu

NDUGU YETU UNAJUA KUSHINDA BIDENView attachment 2270449
Marais wako wote wa US huu mziki wa Russia wameushindwa atauweza uyo babu yenu pole sana.
 
Pro NATO bado wanaishi kwenye zama za Mfalme Njozi [emoji23][emoji23][emoji23] wanafikiri Marekani ndio Mungu wa hii dunia.

Game isha change and there is no going back.
Waache wakina ARISTOTE wazee wa vikao waendelee kuunda vikwazo kwenye bunge lao la mchongo.

Wazee wa Brics wamesema kazi iendelee [emoji23] no more New World Order ikibidi dunia isiwepo tu. Tutafumuana hata Iskander na Satan.

Eti ARISTOTE imebidi nicheke nimepita hapa Palmvillage nimeliona bango lake kubwa ARISTOTE[emoji23][emoji23]
 
Kichwa chako bado cheupe sana ndugu yangu. Kwahiyo kwa akili zako unafikiri Russia hajui wewe unajua?? Unafikiri alikurupuka kama wewe ulivokurupuka kuandika pumba hzi?? Mwaka huu mtakufa kwa BP kama mlizoea kuonea libya, iraq, safari hii mmekutana na kisiki cha mpingo.

Kama nyinyi ni wanaume pelekeni jeshu Ukraine na sio kelele.
Afu hzo kelele zenu eti Russia arushe kombora Poland hzo siasa zenu ni za kitoto kwanini nyie msirushe kombora pale moscow au simple kwanini msiingie direct??

Ni mtanzania pekee wa tandahimba anayeamini NATO itaingia vitani na Russia kamwe hakuna mwenye uthubutu

NDUGU YETU UNAJUA KUSHINDA BIDENView attachment 2270449
Marais wako wote wa US huu mziki wa Russia wameushindwa atauweza uyo babu yenu pole sana.
NATO wavunja kikao baada ya ndege za urusi kuruka kwenye anga zake NATO.

Attachments

  • VID-20220623-WA0069.mp4
    3.2 MB
NATO wavunja kikao baada ya ndege za urusi kuruka kwenye anga zake NATO.

Mkuu kwa kifupi hio S550 ni balaa kwanza inautwa SATELLITE KILLER ina uwezo wa target hadi range above 10,000 miles hii ngoma inadungua mpaka Hypersonic missiles inadungua ICBMs mpaka satellite za mmarekani kule juu.[emoji23][emoji23]

Kumbuka mpaka sasa hakuna Airdefense system iloweza kupambana na S-400 na unakumbuka kama sikosei 2018 US alisema atawapa vikwazo Russia kama atauza hio S-400[emoji1787][emoji1787]. Kumbuka Russia ana S550 na sasa hii mpya S-550 afu kuna boga anakuja kuifananisha Russia na US kwenye teknologia ni dharau kwa Russia.

Russia amemwacha US mbali sana kwenye millitary technology hana ubavu wa kucompete na Russia. Kama hypersonic NATO wote inawashinda wakati mwenzao anayo Mpaka airdefense ya kutungua hypesonic na ICBMs hawa ndo wakuingia vita na Russia?.
 
Back
Top Bottom