Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu
Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa
ww kama mtu mzima naamini ushanielewa nn namaanisha. Maisha nivita na siku zote vita hii huwez kupambana pekeyako naukashinda
PM yangu iko wazi unaweza nipa ushauri nn nifanye ama wapi naweza pata msaada wajambo langu na mambo yakakaa sawa . Ahsanteni