Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wale wakiofika pale page
Znz beach
Kuna hotels kadhaa
Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan
Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu
Wakati naingia nkaona amekaa jamaa mmoja wa kizungu kavaa nguo za ajabu ajabu kama ombaomba
Gafla tukiwa na shemeji yenu akasema inaonekana ahajala
Nkamtuma mdada kamulize anakula nn akasema ahsante
Nkamtuma tena mwambie anakunywa nn akasema safari
Nka wagazia za 16000.....bia 2 wapendwa
Nilipanga kunywa 5 nkasema woi mwache anyway
B mdogo akasemaa n baraka sana jamaa akafunguliwaa bia akanywa ..kabla ya kunywa akaja mezani akatushukuru sanasana
Tukasema ahsante
Tukauliza msosi nkamwambia b mdogo we kula m vyombo vinatosha akasema niko na hela worry out will share bills nkamaambia uwe na amani...
Akaletewa xha wali na masamaki ya kutosha 40000 nkaagiza beer zangu zq mwisho b mdogo akalazimisha nile nkaagiza msosi wa 35000.......
Tukiendelea kula hii n true story from bottom of ma heart. B mdogo akamwagizia yule mzee beer 2 nyingine akapelekewa akasema God bless u all......
Tukaanza story nk akaenda kuchezea maji akarudi....aliporudi yule mdada tukaona anakuja akasema sorry dada bill ya chakula ineshalipwa na yule baba mbele mliemnunulia beer
Nkasemaa no mwambie ahsante tukamhesabia mdada hela akampelekea zile alizotoa
Babu wakiitaliano akajaa kukaa na sisi lugha kwa lugha....hapo tushalipa vinywaji vyoteeee
Akasema ahsanten sana u guys ur so kindness nkasema ahsante
Akarudisha zile hela za vyakula akasema am Mr xxxx owner of this hotel since 8 yrs ago
Nilipata choo cha gafla nkamwambia Mungu nipe kumthamini kila alie mbeleyety bila kujali amevaa nn anaoshije
Mpaka tunaondoka znz bmdogo tunaulizana kumbe unaweza kumsaidia mtu ukakuta umeingia mbinguni kwa baraka za yule m2
Pili
Usimdharau mtu kwa nguo alizovaaa hujui utakutana nae wapi atakusaidia wapi
Usimdharau mtu kwa umrii wakeeè..yule mdada alietusave tulichukua namba zake akasemaaa weekend ndivyoo anavyovqa mpakajpili na akitokea mtu kumnunulia hata bia moja usishangae analipa vyotee....
Mpendane mkiwa hai
Sikwambii uende kule bila hela ukimwona ukabahatika mbariki usisubiri barakazake
Kama una uwezo wa kumbariki mtu mbarikiii