Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni kama stori hivi kasimuliwa naye kaileta huku😅😅😅Huu mwandiko sio WA kununua bia kwa buku 8!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama stori hivi kasimuliwa naye kaileta huku😅😅😅Huu mwandiko sio WA kununua bia kwa buku 8!
Hivi vikombe ni vya kahawa au chai ndugu?☕☕☕
Tulia hivyo hivyo mkuu 😀😆😆Hivi vikombe ni vya kahawa au chai ndugu?
Aiseee nimekuheshimu sanaa yaan mwanzo wakati tunatafuta sehemu ya kukaa tulianza kulizia bei sehemu tofauti kuanzoa vinywaji kama wameambiana...yaan una hela ku enjoy nenda znz acha kabisaZanzibar ile ni Nchi nyingine kabisa. Watu wana Mawe na hawana Maneno mengi. Cool calm.