Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni kama stori hivi kasimuliwa naye kaileta hukuπ π πHuu mwandiko sio WA kununua bia kwa buku 8!
Hivi vikombe ni vya kahawa au chai ndugu?βββ
Tulia hivyo hivyo mkuu πππHivi vikombe ni vya kahawa au chai ndugu?
Aiseee nimekuheshimu sanaa yaan mwanzo wakati tunatafuta sehemu ya kukaa tulianza kulizia bei sehemu tofauti kuanzoa vinywaji kama wameambiana...yaan una hela ku enjoy nenda znz acha kabisaZanzibar ile ni Nchi nyingine kabisa. Watu wana Mawe na hawana Maneno mengi. Cool calm.