Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Yes, kuna uzi mmoja wa Gudume alimchukua dem akampeleka guest, huku analinda gari kwa dirishani, huku anashughuli yake, sijawahi kucheka kama siku hiyo maisha. Sijui hata uliitwaje ,anaekumbuka anikumbushe
Emb Nitag Mkuu😅😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hemu tuleteeni huo uzi. Mie nshacheka hata sijasoma.....
 
Yes, kuna uzi mmoja wa Gudume alimchukua dem akampeleka guest, huku analinda gari kwa dirishani, huku anashughuli yake, sijawahi kucheka kama siku hiyo maisha. Sijui hata uliitwaje ,anaekumbuka anikumbushe
GuDume njoo tutajie jina la hilo bandiko
 
Uzi umenimalizia popcorn zangu za tsh 269,877.60/=[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Ambao hamjapitia hapa njoeni mpoteze muda
 
Nnesoma mpaka paragraph ya 3 ikabidi nirudi kuangalia who is OP mara paaap. Bill lugano🤣🤣🤣🤣
 
Aisee una maisha mazuri sana hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…