Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Kwenye thread zote za kidukulilo iloyonipendeza na kunichekesha ni ile nyumba ya mengi alipofariki.
 
dah! kweli nilishangaa sana lile jokofu nakumbuka nlipotelea kule bustanini takriban siku 9 natafuta njia ya kutoke
 
This time and energy could have been used for something positive in your life.
Seems like you are full of hate. You reach at the point of deciding for others what to write and what not. For him this could be positive. Wewe umepotezaje muda kusoma na kuandika haya? Msimchukie mtu ambaye hana habari nanyi. Mi napenda nyuzi za jamaa na napenda life style yake. Hana habari na mtu.
 
Ma saddist ni wengi sana jf
 
Tupo pamoja Mkuu... naomba kale BMW nikachezee please.
 
Nilivyofika sehemu tunataka mayai ya mbuni ikabidi nisome jina la mleta uzi, kumbe ni don kidukulilo nimeishia kucheka tu[emoji23]
 
Haaaaahaaahaaa wazee nimesoma thread weeeee
Nikasema mbona kama sielewi elewi nilipofika kwenye friji kubwa nikashtuka kidogo baada ya kuona mtu kapotelea humo chaaaaaaaa
Nikagutuka akili ikanambia rudi uangalie ID aseeeee kumbe

Kiduku Lilo?

Nimechokaaaa!
Hata mi nilipofika katikati ilibidi nirudi mwanzo niangalie ni nani!

Sikuwa na shida baada ya kuona ni kiduku.
 
Hahaaa..utoto raha sana..ukote hapo yupo kwa shemeji anasubiri dada amalize kupika ajilie lunch yake ya ugali dagaa.

Stori bila picha ni porojo kama za ilani ile.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hata Kama ni chai ila umenifanya nijihisi naishi stoo ila frsh tu kmmmamake
 
Back
Top Bottom