Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Da sikusoma jina la mleta mada ,nikaanza kusoma bana nilivyofika kwenye mayai ya mbuni ikabidi nirudi nilikotoka kwanza, kucheki ni nani aliyeleta hii chai yenye pilipili kichaaa na tangawizi mwitu?kumbe ni huyu kijana wa kwa mtogole karibu na mferji wa maji taka
 
IMG_4037.jpg
 
Hayo yote ni matokeo ya kukosekana kwa ajira ,wahitimu wengi siku hizi wamekoswa dira ya maisha hata wengine nimekutana nao wamegeukia ulevi wa kupindukia na Sasa tunaona haya mawazo ya mleta mada da MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Haaaa haaa, walinzi na wafanyakazi wakafanya tour, haaaa 😁.
Masaaa mawili mtu anafungua bufeee tu
 
Da nimetoka kukorofishana na wife hapa,mchepuko nao umeniweka sehemu masaa siku nzima imekuwa chungu.Vile naingia tu JF naona uzi wako yani ni kama nimepata ahueni,nimecheka sana.
 
Sawa tumekusikia maprosoo mhaya ! Kakojoe ulale sasa kesho shule!
 
Back
Top Bottom