Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

Na sisi tunaoishi matakoni mwa dunia tunaruhusiwa kucomment kwenye uzi huu Boss".
 
Mim pia ila nilipoona mtoto wa mzungu kapotea ndani na kutafutwa ndani ya masaa 8 ikanibidi niangalie ID ya OP.
Haaaaahaaahaaa wazee nimesoma thread weeeee
Nikasema mbona kama sielewi elewi nilipofika kwenye friji kubwa nikashtuka kidogo baada ya kuona mtu kapotelea humo chaaaaaaaa
Nikagutuka akili ikanambia rudi uangalie ID aseeeee kumbe

Kiduku Lilo?

Nimechokaaaa!
 
Nimefungua thread bila kuangalia mwenye thread.Baada ya kuanza kusoma nikaona pumba nikajisemea hii itakuwa thread ya mtu yule anaetufungaga kamba,nikascroll kurudi juu kuangalia kama nimepatia,kumbe nilikuwa sahihi.
 
Kujifariji hata mimi huwa naweza kutumia kama dk 30 hivi kwa siku kufikiria maisha ya kuwa na Private Jet yangu yenye uwezo kwa kwenda straight US / UK non stop na kuishi kwenye moja ya 5 star hotel kali kule Miami, Hollywood, mimi na familia yangu... kwenye private room yenye Oxgen tupu kwa ajili ya Sauna !! (Nyie mnaita Nyungu)

Kufikiri Mungu hakatazi !!
 
JF Haimpi Kiduku Lilo Heshima anayostahili.

Iaitoshe kuna watu wana fikra ndogo sana yaani.. kwanini uumize moyo wako kwa wivu na chuki dhidhi ya Fictional Character?

Ishi sana Kiduku Lilo!
Kweli tumetofautiana kufikiria na kuyachukulia mambo. Yani unakuta mtu anakomaa kwa hasira kabisa anamchukia Kiduku au anakazana kumpinga huwa nasema hivi watu wana upeo wa kung'amua mambo kweli? This is just for funny kama moyo wako ni mwepesi usio na vinyongo vinyongo huu uzi ni wa kufurahia kabisa unasogeza siku mbele.
 
Kabisa yaani.. sometimes nikiwa bored naingia humu natafuta nyuzi za Kiduku Lilo GuDume Au Zero IQ huwa zinafurahisha sana.
 
Ngoja nijiandae kutamvaa zangu niende home saa hivi rokoo ishapita
 
Back
Top Bottom