Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
We unazo?!Na kama unazo nipe mrejesho Cha maana ulichofanyaMaswali mengi kwa waiter hauna hela nini
Acha majungu, unatuletea habari za mtu tusiye mjua ili iweje?WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!
Mpwayungu huyo bila shakaWanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!
Naye anaishi hivi?!Hatari sana.Mpwayungu huyo bila shaka
Nimefungua ofisi mbili hapa mwakaleliWe unazo?!Na kama unazo nipe mrejesho Cha maana ulichofanya
Acha majungu, unatuletea habari za mtu tusiye mjua ili iweje?
Zinakufaa na wanao,hongera sana .Soma kilichoandikwa ndo ujibu hizo ofisi zitakushinda kwa kukurupukaNimefungua ofisi mbili hapa mwakaleli
HANA utaratibu wa kusave.. kibunda chote anaweka mfukoni anakula mpaka kinaisha, msaidieni uzee wake utakuwa wa tabu kwelikweli
Amini,amini nami nakuambia,huyo ni Yesu Kristu Mnazareti.Naye amerudi kama mwivi!Uwe mfuasi wake.Aaaamiiin!🙏🤔WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!