Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!