Haya maisha ya namba gani?!

Haya maisha ya namba gani?!

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
7,755
Reaction score
11,737
WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!
 
Acha majungu, unatuletea habari za mtu tusiye mjua ili iweje?
 
WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!
Mpwayungu huyo bila shaka
 
HANA utaratibu wa kusave.. kibunda chote anaweka mfukoni anakula mpaka kinaisha, msaidieni uzee wake utakuwa wa tabu kwelikweli.
 
WanaJf wenzangu,Nawasalimu.Kuna jamaa yangu mmoja anaishi maisha ya ajabu sana!Hela anapata sana,lakini Hana kitanda,godoro Wala chumba Cha kulala!Kulala kwake ni kwa kidandia mara kwangu mara kwa jamaa wengine,akizipata analala bar!Na ni mchangiaji mzuri wa mada mbalimbali nk.Na ukimpa ushauri abadilike Huwa anakubali haraka na kupongeza kwa kumshauri,linapokuja swala la utekelezaji hapo ndo kipengere kinapoanza!
Amini,amini nami nakuambia,huyo ni Yesu Kristu Mnazareti.Naye amerudi kama mwivi!Uwe mfuasi wake.Aaaamiiin!🙏🤔
 
Back
Top Bottom