Haya majani kwe chakula yanaitwaje na yana faida gani mwilini?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu,ebu tutoane ushamba kidogo hapa,mara kadhaa nikienda hotel au restaurant kubwa huwa nikiagiza msosi naletewa msosi na hutu tumajani,naomba kuuliza hutu tumajani huwa tunaitwaje na je huwa tunaliwa na mbona huwa havipikwi vinaletwa vibichi?

Screenshot_20250205_130018_Gallery.jpg
 
Wakuu,ebu tutoane ushamba kidogo hapa,mara kadhaa nikienda hotel au restaurant kubwa huwa nikiagiza msosi naletewa msosi na hutu tumajani,naomba kuuliza hutu tumajani huwa tunaitwaje na je huwa tunaliwa na mbona huwa havipikwi vinaletwa vibichi?
Usituchoshe uagize chakula huko maswali utuulize sisi uliza mpishi kumbafu
 
Back
Top Bottom