kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Wakuu,ebu tutoane ushamba kidogo hapa,mara kadhaa nikienda hotel au restaurant kubwa huwa nikiagiza msosi naletewa msosi na hutu tumajani,naomba kuuliza hutu tumajani huwa tunaitwaje na je huwa tunaliwa na mbona huwa havipikwi vinaletwa vibichi?