Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?
  • Dulla
  • Mwasiti
  • Mwanne
  • Chausiku
  • Dotto
  • Kulwa
  • Chogo
  • Hakunaga
  • Chaurithi
  • Chizi
  • Yahya
  • Kadu
  • Shebby
  • ....
  • ....
Ebu ongezeni nanyi basi...
 
Sababu moja ni kuwa Uswahilini kuna watu wenye uhusiano na majina hayo.
 
nina ndugy anaitwa mke gani.....mpaka Leo hajawahi kuolewa na anakaribia 50 sasa ivi, ana watoto tu..sijui mamake aliwaza mini kumpa jina hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…