Wanatumia DOI sio dottoHaya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?
Ebu ongezeni nanyi basi...
- Dulla
- Mwasiti
- Mwanne
- Chausiku
- Dotto
- Kulwa
- Chogo
- Hakunaga
- Chaurithi
- Chizi
- Yahya
- Kadu
- Shebby
- ....
- ....
Bukoba wanasema Eibara libi lita nyinalyonina ndugy anaitwa mke gani.....mpaka Leo hajawahi kuolewa na anakaribia 50 sasa ivi, ana watoto tu..sijui mamake aliwaza mini kumpa jina hilo.
Tanga ukoMasumbuko
Majuto
Siwajibu
Siwema
Siajabu
Mwamvita
Bashite hata masaki wapoBashite