Haya majina na mengineyo, yanajulikana Uswahilini tu, Au?

Furaha
Faraja
Ukimwi
Pimbi
Mosi
Upendo
Faridi (Falidi)
Chaupele
Cheza
Moshi
Mnene
Cheupe
Pili
Tatu
Tano
 
Moze
Gaddafi
Kiluwashe
MAU
Zachaa
Pimbi
Masanyiwa
Ramso
Mudizo
Jozeee
Musto
Doto Mawe
Kishoka
Dangote
Mau njiwa
Mama kijacho
Nigga
Boss
Tajiri
Wa kishua
Mwanangu
Makunganya
Maiko Bambucha
Nk__,,,,,,____________
 
HAVINIMBI.. HAVINITISHI.. SIKITIKO.. SIJALI.. SIYAWEZI.. Sikitu.. ..havijawa..mwanaharusi. ..mwanakombo..JALALA..
 
nina ndugy anaitwa mke gani.....mpaka Leo hajawahi kuolewa na anakaribia 50 sasa ivi, ana watoto tu..sijui mamake aliwaza mini kumpa jina hilo.
Bukoba wanasema Eibara libi lita nyinalyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…