patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 574
Siwema, Siwazuri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaah lazma iume inaonekana kama alipewa hilo jina kutokana na alivyo so sad. ila majina yanasadifu tabia jaman na maisha halisi ya mtuNilienda kutembelea shule ya sekondari kata moja barabara ya morogoro iringa kabla hujafika mikumi kuna mtoto albino yuko bright sana akaniambia anaitwa HASARA iliniuma sana.
Hivi kuna watu wanaitwa Mwaka Mbaya na Sura Mbaya?
Halafu, hivi hayo majina kama Tabu, Mawazo, na mengineyo ya hivyo mara nyingi huwa ni ya Waislam eeh, au nimekosea?
Kama ni hivyo huwa najiuliza kwa nini....
Ndg wana MM kwa uzoefu nilioupata baada ya kuishi hapa
duniani miongo kadhaa nimegundua kuwa watu wenye majina kama Shida, Tabu, mawazo, siamini, Mwaka mbaya, Sura mbaya, Sikitu, Tatizo na mengine yanayofanana maisha yao huwasumbua sana hivyo
"TUACHE KUWAPA WATOTO MAJINA HAYA" unaweza kutaja na mengine
Ongezea Masumbuko, Tatizo, na Maimuna (ingawa hili sijui hata kwa nini lina negative connotation).
Ongezea Masumbuko, Tatizo, na Maimuna (ingawa hili sijui hata kwa nini lina negative connotation).
Mohamed