Hizi ni ghetto names za US, kuna jamaa mmoja alikuwa anamuita ghetto babeboo kwamba "come one in ghetto Laquisha I got my condom on bae!"
Nandera umenikumbusha mbali mno alafu wewe sio Nandera nnaemjua kweli?Kulikuwa na tangazo RTD zamani la kozi ya kingereza. Sasa kuna katibu muhtasi alikuwa akipigiwa simu kwa lugha ya kingereza kila kitu anajibu "mimi Maimuna"......nasema mimi Maimunaaaa". Lilikuwa linachekesha sana. Kuanzia hapo jina la Maimuna likahusishwa na ukilaza. Ni kama Kihiyo na kufoji vyeti.
Mwingine anaitwa chuki, mke jina , dharau, sikitu n.k