Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Hizi ni ghetto names za US, kuna jamaa mmoja alikuwa anamuita ghetto babeboo kwamba "come one in ghetto Laquisha I got my condom on bae!"

Teh teh
Shamicah, Latasha, Uniqwa,Chacara, Chaquina, Letoya, Leroy afu kuna wabongo wanawaita watoto wao Latoya jama jama jama sijui kama wanaujua ukweli kuhusu haya majina.
 
Kulikuwa na tangazo RTD zamani la kozi ya kingereza. Sasa kuna katibu muhtasi alikuwa akipigiwa simu kwa lugha ya kingereza kila kitu anajibu "mimi Maimuna"......nasema mimi Maimunaaaa". Lilikuwa linachekesha sana. Kuanzia hapo jina la Maimuna likahusishwa na ukilaza. Ni kama Kihiyo na kufoji vyeti.
Nandera umenikumbusha mbali mno alafu wewe sio Nandera nnaemjua kweli?
 
Mwingine anaitwa chuki, mke jina , dharau, sikitu n.k

Yeah,mji nilipopanga mtoto mmoja wa mama mwny-nyumba ana mtoto anaitwa Chuki halafu ni booonge la mdada zuriiiiiiii.But anavoishi anaonesha ana kitu moyoni mwake
 
Back
Top Bottom