Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Haya majina tusiwape newborn (watoto)

Muite mwanao utakavyo muita.

1. Kila jina linarithiwa, maana hakuna jipya hapa duniani.

2. Mbantu ni Mbantu tu, aitwe Rich au Mawazo habadiriki, atakuwa vile vile.

3. Jali maana ya jina na kwa nini umemuita hivyo, mengine ni saikolojia tu.

Ni mtazamo wangu wapendwa.
 
mmesahau matatizo, chausiku, masumbuko, majaliwa, siwatu na yakufanana na hayo jamani hayasound swty pia. jina lake linabeba maisha yake duniani. ndio maana mtu mwngne majanga hayamuishi kumbe anaitwa Matatizo. duuh let's stop this
 
mbana waingereza culture hzo wanazo..?akina cook,tailor na wengin kibao just ku show ametoka kwenye ukoo wa aina gani..
 
uzi ni mzuri kwa wale wanaotegemea kuwapa watoto hayo majina ili waache kuwapa hayo majina
lakini hata hapo jukwaani kuna watu wamejiita majina mabaya sana tu ila sitaki ugomvi kila mtu ajichunguze mwenyewe
 
Kwanini Avater Yako Huyo Baba Amemkumbatia Mtoto Halafu Analia Kwa Machungu??

Just Curious Sir

Inaamimika kwamba uncondtionaly and true love exist only between mom and his children. And matter of fact, no woman no cry!!

On my case, I realy respect my mom coz she used to work in the rain jst to feed her children down the lane. So nikiona hiyo picha na maisha ambayo nimehustle na mom naumia sana lakin inaibua upendo saana na mom.

Kind regards,
Humble african.
 
Sio kweli kuna mdada mmoja nilikua nae enzi za utoto anaitwa Chausku na sasa yupo mamtoni anakula bata, sisi ambao majina yetu yanaashiria utajiri RICH tupo majalala hapa bongo!!
Teh teh si kama mimi Chanaiti niko kwa mamtoni.
 
Hivi kuna watu wanaitwa Mwaka Mbaya na Sura Mbaya?

Halafu, hivi hayo majina kama Tabu, Mawazo, na mengineyo ya hivyo mara nyingi huwa ni ya Waislam eeh, au nimekosea?

Kama ni hivyo huwa najiuliza kwa nini....
Acha U-wehu, Hayo ni majina ya Kiswahili.
Kabla ya kuropoka fikiria kwanza.
 
Kama majina yangekuwa yanasababisha maisha ya mwenye jina kuwa vile jungewapa watoto jina la tajiri, mheshimiwa, kiongozi! Hayo majina wengi huwa wanawapa kulingana na historia, mwingine amehangaika miaka kumi anatafuta mtoto katika ndoa anakuja kumpata anamwita siamini.
 
Sio yote yana maana mbaya mfano jina havintishi hili ukimpa mtoto wako atakuwa confident na sio mwoga, hatishwi hovyo na mambo ya dunia.
 
Back
Top Bottom