Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Kwa hyo wewe unafikiria GENTAMYCINE anafanana na dawa?? ( just thinking aloud)

huyu jamaa ( GENTAMYCINE ) anaonekana ni so popular humu JF kwani nimegundua watu hupenda kumzungumzia na kumjadili sana. natamani na mimi siku moja nije kuwa popular kama yeye japo najitahidi kumfukuzia lakini simpati. nifah nasikia kuwa uko nae karibu sana na ndiyo maana wote mkawa maarufu humu JF vipi ni kweli?
 
Huyo @misschagga nini?
 
Nasikitika mno na kulikotukuka nikisikia mtu akiitaja ID hii ya kipenzi changu popoma GENTAMYCINE ,tarehe 8 ifike tu maana nimem miss sana,sijui nimshawishi vipi apunguze ule mtaro wake wa maneno machafu.
(Angekuwepo angefurahia sana nilivyouliza sijui nimshawishi vipi)
Hahahahaaa.
 
i.d fake na majina ya ajabu ajabu ni moja ya chachandu hapa j.f, napenda sana hii kitu
 
kwani kunaubaya yeye kuendelea kutumia hilo jina....?
 
na wewe ulipaswa utoe smartphone yako u log in jf, then ujifanye kunakitu kina kusumbua kwenye hii layout mpya ya fb, halafu umwambie AH! KUMBE WEWE NDIYE MISS.....! hakyanani angebadili hiyo id haraka kwa invisible, na kama jf kungekuwa na option ya user kudelete mwenyewe ac yake, amini angefanya hivyo haraka!
 
dah sipati picha hilo jina la invisible aki update itakuaje..πŸ™„πŸ˜•
 
Last edited:
Usinichoke mkuu, mbona kuna watu wameolewa na umri umeenda tu ila wanatumia au kuandikwa Ms? Natanguliza shukrani
Kwa kuwa ni kuelimishana, sikuchoki, nawe usinichoke. Nani mwenye title hiyo kwa watu maarufu tulioa nao hapa uswazi?
 
Na wewe unatakiwa kuhuisha jina lako kwenda mkangag hahaaaaa
 
Kabooom!
Mi kweli naona aibu kujiita Miss ingawa sijawa Mrs bado! Sijui mazxingira yangu ha ha ha! Miss Chaga za saa hizi!
Basi ukiolewa naomba uweke Mrs kutualert vijana tupunguze usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…