Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
miss neddy nina salamu zako. Afu atoto hilo jina update tu to "Azee" au "Abibi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo wewe unafikiria GENTAMYCINE anafanana na dawa?? ( just thinking aloud)
Huyo @misschagga nini?wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes
thank you so much for your attention ni hayo tu
Nasikitika mno na kulikotukuka nikisikia mtu akiitaja ID hii ya kipenzi changu popoma GENTAMYCINE ,tarehe 8 ifike tu maana nimem miss sana,sijui nimshawishi vipi apunguze ule mtaro wake wa maneno machafu.huyu jamaa ( GENTAMYCINE ) anaonekana ni so popular humu JF kwani nimegundua watu hupenda kumzungumzia na kumjadili sana. natamani na mimi siku moja nije kuwa popular kama yeye japo najitahidi kumfukuzia lakini simpati. nifah nasikia kuwa uko nae karibu sana na ndiyo maana wote mkawa maarufu humu JF vipi ni kweli?
na wewe uwe heaven received maana dah! hiyo sent kila siku haifiki tu?miss neddy nina salamu zako. Afu atoto hilo jina update tu to "Azee" au "Abibi"
Hahahaa haya ntabadilishana wewe uwe heaven received maana dah! hiyo sent kila siku haifiki tu?
dah sipati picha hilo jina la invisible aki update itakuaje..🙄😕na wewe ulipaswa utoe smartphone yako u log in jf, then ujifanye kunakitu kina kusumbua kwenye hii layout mpya ya fb, halafu umwambie AH! KUMBE WEWE NDIYE MISS.....! hakyanani angebadili hiyo id haraka kwa invisible, na kama jf kungekuwa na option ya user kudelete mwenyewe ac yake, amini angefanya hivyo haraka!
Kwa kuwa ni kuelimishana, sikuchoki, nawe usinichoke. Nani mwenye title hiyo kwa watu maarufu tulioa nao hapa uswazi?Usinichoke mkuu, mbona kuna watu wameolewa na umri umeenda tu ila wanatumia au kuandikwa Ms? Natanguliza shukrani
Na wewe unatakiwa kuhuisha jina lako kwenda mkangag hahaaaaana wewe ulipaswa utoe smartphone yako u log in jf, then ujifanye kunakitu kina kusumbua kwenye hii layout mpya ya fb, halafu umwambie AH! KUMBE WEWE NDIYE MISS.....! hakyanani angebadili hiyo id haraka kwa invisible, na kama jf kungekuwa na option ya user kudelete mwenyewe ac yake, amini angefanya hivyo haraka!
bidada wee! njoo ule vyombo club lamambo tabata bibie!Na wewe unatakiwa kuhuisha jina lako kwenda mkangag hahaaaaa
Kabooom!Miss vitaimana habari yako
Basi ukiolewa naomba uweke Mrs kutualert vijana tupunguze usumbufuKabooom!
Mi kweli naona aibu kujiita Miss ingawa sijawa Mrs bado! Sijui mazxingira yangu ha ha ha! Miss Chaga za saa hizi!