Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Unadhani anaonaga basi huyo Azee. Labda ingekuwa issue ya kuhusu helanahisi bado hajaona asee😕
nahisi bado hajaona asee😕
Mi nahisi kabooom ni mlio unaotokea baada ya kitu fulani! Mfano ajali, kumega dem na kutoka nduki, kula za uso, kuangukia pua nk!Nawe kaboom ina maana gani?
miss neddy nina salamu zako. Afu atoto hilo jina update tu to "Azee" au "Abibi"
Mmh basi labda nilibugi kukumention. teh naona umemfuma mumeo anasarandia mtoto mbichiiHahahaaaaa!! Sio abibi tu bali 'mbibi'
Hukunimention bwana ndio maana sikuona.
Mi nahisi kabooom ni mlio unaotokea baada ya kitu fulani! Mfano ajali, kumega dem na kutoka nduki, kula za uso, kuangukia pua nk!
Sasa care should be taken when kaboom is the subject ha ha ha !
Nawe kaboom ina maana gani?
Unadhani anaonaga basi huyo Azee. Labda ingekuwa issue ya kuhusu hela
Eeh sijui una undugu na joka la makengeza tehYaani ukiniita kwenye isue inayohusu hela hata kama ujanimention nasense tu, chezea hela wewe, the only language i understand.
Mmh basi labda nilibugi kukumention. teh naona umemfuma mumeo anasarandia mtoto mbichii
Hahaha si anabadilika taratibu taratibu, Rome wasn't built on a day. Mvumilie tu mume wa ujana wakoYaani hii ni kaboom kweli, yaani siku hizi hata sishangai tena maana nishamfumania weeee hadi imekuwa kama kunywa maji vile, ni sehemu ya maisha yetu.
Unakumbuka aliapa kuwa huu mwaka ameokoka!! Sijui alikuwa anamaanisha kuokoka kupi
Eeh sijui una undugu na joka la makengeza teh
Hahaha si anabadilika taratibu taratibu, Rome wasn't built on a day. Mvumilie tu mume wa ujana wako
Kwa raha zangu nurse wa zamuNi kipaji maalumu, teh teh teeeeh! We si ulisomea uuguzi.
Mmmh!! Kumbe kingreza unakipatapata eeeh? Ukiwa roma fanya km waroma wafanyavyo, sasa yeye mbona yuko kwenye ndoa alafu hafanyi vile wanandoa wanatakiwa kufanya?
Hahahaaa! Mfundishe na baba yako basi jamani maana hali ni tete, mie nimemshindwa nagugumia tu na mtumbo wangu.Kwa raha zangu nurse wa zamu
Ndo anaanza kuact kama mwanandoa now
Teh mfundishe wewe mkeweHahahaaa! Mfundishe na baba yako basi jamani maana hali ni tete, mie nimemshindwa nagugumia tu na mtumbo wangu.
Teh mfundishe wewe mkewe
Anza tu kugonga na kokoto sasa[emoji23] [emoji23]Mie nimegonga mwamba kwakweli.
Anza tu kugonga na kokoto sasa[emoji23] [emoji23]