Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

KUITWA MISS NI CHEO SIYO UMRI. PIA AKIFANIKIWA KUOA ATAPEWA CHEO ( KE ) MRS. LAKINI PIA ENDAPO ATABARIKIWA KUWA MKUBWA WA HESHIMA ATAJIITA NA KUITWA LADY. Tuendelee wana jamvi
 
wakuu habarini za wakati huu.

kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes

thank you so much for your attention ni hayo tu
" Huo sasa umbea bro.
 
Kaka yangu kipenzi mito its about time sasa uwe bahari maana hiyo mito ishakuwa mingi mnoo tukiiunganisha tunapata bahari kabisa.
 
Hahaha sijui yuko wapi kaka angu jamani. Kama namuona atakavyocheka huko
 
Last edited:
wakuu habarini za wakati huu.

kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes

thank you so much for your attention ni hayo tu

Wewe wahangaika na majina....kimbembe kipo kwenye avatar...hatari sana
 
Back
Top Bottom