Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sitaki.Haya bana..Uje tucheki series basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki.Haya bana..Uje tucheki series basi
Aliyojionea Bella amerudi analia!Ila hapa ni mtakuja, anarudigi tu mwenyewe range zikishampindua huko.
Teh teh..We mwanamke haujalala tuNjoo utulize nafsi aiseee! Waaikuweke roho juu kama tai ya Baba Ritz!
Kwani akijiita miss inakudhuru nini???
Hamna usingizi ha ha ha! Nilikwambia nimetoka kufunga ukurasa eeeh!Teh teh..We mwanamke haujalala tu
Teh teh....@missyrose dongo lako hili
Hahaa..acha basi. Ikiwa bibirose hainogi
" Huo sasa umbea bro.wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes
thank you so much for your attention ni hayo tu
Hahaa..acha basi. Ikiwa bibirose hainogi
Pacha tujiboost tu tuhamie kwenye ubibi maana hamna namba, itanoga tu with time
Hahaa..nyie badilisheni mimi bado kidogo. Ujana raha twin..
Hahaha sijui yuko wapi kaka angu jamani. Kama namuona atakavyocheka hukoKaka yangu kipenzi mito its about time sasa uwe bahari maana hiyo mito ishakuwa mingi mnoo tukiiunganisha tunapata bahari kabisa.
Hahaha siku yuko wapi kaka angu jamani. Kama namuona atakavyocheka huko
Yupo bana, kaka angu hana michepukoSijui kafichwa na mchepuko gani aiseee!! kapotea kweli.
wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes
thank you so much for your attention ni hayo tu
Hapo kweli, ila bora ajiite miss hafu ni mwanamke, maana JF na vituko vyake unaweza kuta miss halafu ni dume.