Vitaimana
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 3,535
- 1,562
Kwa dhati au kishingo upande?Naomba usikae mbali maana hadi wiki ijayo nitakuwa nishamshindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa dhati au kishingo upande?Naomba usikae mbali maana hadi wiki ijayo nitakuwa nishamshindwa.
Bora tu ujitulize, ndani ya siku mbili tu utakuwa ushaanza kumlilia tena. Na mzee wangu unamjua akitoa alteeza anahamia kwenye Range Rover
Teh kwa hiyo akiwa alosto ndo anarudi kwako, akineemeka anakusahau. Daah pole sana ma mdogoIla hapa ni mtakuja, anarudigi tu mwenyewe range zikishampindua hiko.
Kwa dhati au kishingo upande?
Teh kwa hiyo akiwa alosto ndo anarudi kwako, akineemeka anakusahau. Daah pole sana ma mdogo
Teh kutesa kwa zamu, ntakuletea nguruka kesho na malimaoYaani we acha tu, ila nami nilimfaidigi kipindi fulani, kweli nimeamini kutesa kwa zamu, ukijumlisha na huu ujauzito ndio kaniweza kweli.
😕😕😕😕Kwa dhati kabisaaaaaaa, yaani shingo imenyoooka.
😕😕😕😕
U and I still have some unfinished business
Teh kutesa kwa zamu, ntakuletea nguruka kesho na malimao
Eeeh na nimezidi kuwa maporini hata sijafatilia tena. Nimeona hapo tekno nikaanza kuimba " no be wash, she likes varsace, baby nachi, me and you we wear to match" lolHeaven Sent Tecno own the stage watz wote wametoka..Kabaki mmoja tu
Teh teh acha uroho, me Uduvi kwanzaUwiiii hadi mate yamenijaa mdomoni kwa kunitajia hivyo vitu, nimewamiss nguruka hatari, next week nikifika moro ndio cha kwanza.
Vitaimana a.k.k feni mbovu ndo aliyenikaribisha kwenye ulimwengu huu..Sema hana wivu..Uwa ananiacha tu nidhuruleMweeeeh!! Vitaimana angekuwaje nisingekupata?
Vitaimana a.k.k feni mbovu ndo aliyenikaribisha kwenye ulimwengu huu..Sema hana wivu..Uwa ananiacha tu nidhurule
Haya bana..Uje tucheki series basiOoooh! Bora hana wivu maana wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.