Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Bora tu ujitulize, ndani ya siku mbili tu utakuwa ushaanza kumlilia tena. Na mzee wangu unamjua akitoa alteeza anahamia kwenye Range Rover

Ila hapa ni mtakuja, anarudigi tu mwenyewe range zikishampindua huko.
 
atoto mama kijacho ile series ya Mistresses niliyokwambia uliicheki..Soon inaendelea

Mweeeeh!! This time yakikukuta ya kukukuta movie angalia mwenyewe, hiyo siiangalii labda angeirecomend mwingine.
 
Teh kwa hiyo akiwa alosto ndo anarudi kwako, akineemeka anakusahau. Daah pole sana ma mdogo

Yaani we acha tu, ila nami nilimfaidigi kipindi fulani, kweli nimeamini kutesa kwa zamu, ukijumlisha na huu ujauzito ndio kaniweza kweli.
 
Yaani we acha tu, ila nami nilimfaidigi kipindi fulani, kweli nimeamini kutesa kwa zamu, ukijumlisha na huu ujauzito ndio kaniweza kweli.
Teh kutesa kwa zamu, ntakuletea nguruka kesho na malimao
 
πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
U and I still have some unfinished business

Hapana, until next week we ll be finished darling, na huyu mtoto nitamlea mwenyewe kama unavyomlea Heaven Sent ila hela uwe unatuma tafadhali.
 
Heaven Sent Tecno own the stage watz wote wametoka..Kabaki mmoja tu
Eeeh na nimezidi kuwa maporini hata sijafatilia tena. Nimeona hapo tekno nikaanza kuimba " no be wash, she likes varsace, baby nachi, me and you we wear to match" lol
 
Vitaimana a.k.k feni mbovu ndo aliyenikaribisha kwenye ulimwengu huu..Sema hana wivu..Uwa ananiacha tu nidhurule

Ooooh! Bora hana wivu maana wivu ni kidonda ukishiriki utakonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…