mkono wa nyoka
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 334
- 54
nimefurahi unavyoongelea na jina lako lilivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAHAHAHAHATeh teh...Sasa uoni kama ni tatizo hilo..Huku ni kupotezeana muda,nguvu na pesa...
wewe mbeya sana upo ndani ya gari kutwa kuchungulia simu za watu
siku utapochungulia ukakuta picha za uchi za mkeo au sms anazobembelezwa akagegedwe ndio utaacha umbea
Au siku upofuke tu ndio utajua kazi ya macho sio umbea wala kupiga chabo
Teh teh..Huyo mzee muongo..Ila dada inawezekana akawa anasema kweliHAHAHAHAHA
Tumegoma......Mnatuchanganya mpendwa..Muwe mnaupdate bana
grammarhakuna proper english grama ya kuandika "how does that" ! gramatical rule inaendana na wewe kutumia "how does it affect u?"
miss ni unmarried woman....haijalishi umri.wakuu habarini za wakati huu.
kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes
thank you so much for your attention ni hayo tu
ina maana bado hujabadili tabia mpaka leo?
just update your name
hakuna proper english grama ya kuandika "how does that" ! gramatical rule inaendana na wewe kutumia "how does it affect u?"
we tuonane tigo pesa, MPESA na airtel money tuMmmh! Ndo maana miss chagga hataki tuonane, kumbe ni mbibi!
mzima sana aisee ,, naona jamaa anachungulia smartphone za watu mie hata nikiwa kibibi natumia miss hivi hivi wajichanganye niwalie vipesa vyaomiss chagga mzima wewe...
we tuonane tigo pesa, MPESA na airtel money tu