Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Haya majina ya JF ifike mahala tuwe tunabadilisha

Attachments

  • 083.jpg
    083.jpg
    45.4 KB · Views: 23
Hahahahahhhha lol imebidi nicheke tu
wewe mbeya sana upo ndani ya gari kutwa kuchungulia simu za watu

siku utapochungulia ukakuta picha za uchi za mkeo au sms anazobembelezwa akagegedwe ndio utaacha umbea

Au siku upofuke tu ndio utajua kazi ya macho sio umbea wala kupiga chabo
 
wakuu habarini za wakati huu.

kuna hili swla la kutumia baadhi ya ID hapa JF kwakweli inabidi tuwe makini kidogo
Juzi nilipanda na mama mtu mzima tu kwenye basi kutoka dodoma kwenda morogoro, bila hiyana mama huyo aktoa smartphone yake na ku log in JF
kilichonifurahisha ni id yake aliyotumia japo sipendi kuandika hapa
ila just imagine alinaanza na miss......
wakati ukimuangalia ana approach uzeee!!!!
basi ifikie wakati tuwe tuna update majina kulingana na wakati mfano miss..... ukiona umri umeenda just change maana hamna namna au .....jr just change to senior sometimes

thank you so much for your attention ni hayo tu
miss ni unmarried woman....haijalishi umri.

noun, plural misses.
1.
(initial capital letter) a title of respect for an unmarried woman, conventionally prefixed to her name or to the name of that which she represents:
Miss Mary Jones; Miss Sweden.
 
hakuna proper english grama ya kuandika "how does that" ! gramatical rule inaendana na wewe kutumia "how does it affect u?"

There are many ways to kill a rat brother kaka! Nafikiri umesahau kuna aina ngapi za English duniani! Ukipata jibu sawazisha kwa polepole !
 
Back
Top Bottom