Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.

Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa kiingereza.

1. Manati - Catapult
2. Ukwaju- Tamarind
3. Bamia - Ocra
4. Mafenesi - Jack fruit
5. Mastafeli- Soursop
4. Kupiga danadana - Juggling
5. Apple -Tufaa
6.

Ongezea mengine
 
Hapa nilikuwa sijui vitatu

Shukran sana Dr Maghayo (PhD)
 
usingizi unaitwaje
 
Kuna tunda linaitwa fyoksi kwa kingleza sijui ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…