Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

Haya majina ya vitu kwa kiingereza wengi hawafahamu

Mzuka wanajamvi!

Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.

Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa kiingereza.

1. Manati - Catapult
2. Ukwaju- Tamarind
3. Bamia - Ocra
4. Mafenesi - Jack fruit
5. Mastafeli- Soursop
4. Kupiga danadana - Juggling
5. Apple -Tufaa
6.

Ongezea mengine
Maghayo - Nincompoop
Kiranga - Kerfuffle
GENTAMYCINE - Upwiru
Numbisa - Bumfuzzle
 
Kuguna-
Kusonya-
Kuongea mwenyewe-
Kubeua-

Kuna ile namna ya kukuna sikio linalowasha kama unasonya inaitwaje kwa kiswahili na english-

Kile kitendo kinachotokea unapokuwa unasugua ulimi na kutoa ute mzito kinaitwaje kwa kiswahili na english-
 
Back
Top Bottom