Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Hapana!Sleep ni kulala, usingizi ni sleepy.
Sleepy ni *iliyolala
Sleep ni kulala
Asleep = yupo usingizini yaani kalala
Usingizi ni sleepness
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana!Sleep ni kulala, usingizi ni sleepy.
SadineDagaa =Sadins
Pancakechapati zitaitwaje kwa hiyo lugha?
Hizo ni tula mkuu kiungo cha mboga kwa wazigua, wanachanganya na bamia au maharageNdulele
Linaitwa PeachKuna tunda linaitwa fyoksi kwa kingleza sijui ni nini
Hiyo UWA labda kilugha chenu...Hapo kuna UA moja ni UWA
Ndio ndioLinaitwa Peach
Teeth Gap,Mwanya unaitwaje?
Kisogo kinaitwaje?
Occipital ✖️Teeth Gap,
Occipital.
Unyama sana.Occipital ✖️
Occiput ✔️
Occipital hiyo ni adjective (kivumishi)
Kuna mshikaji aliawahi kuniambia shule 1990 eti demu anafeel something amazing so anakung'ang'ania but sijawahi kujaribu zaidi ya kuitumia kupoza jinoKuna mjinga wakati tunakua alitufundisha kupaka dushee afu unaingia mzigoni....aisee dah
Tangerine bintChenza linaitwaje vile....nakumbuka inaanza na schwa
Kuguna- siphKuguna-
Kusonya-
Kuongea mwenyewe-
Kubeua-
Kuna ile namna ya kukuna sikio linalowasha kama unasonya inaitwaje kwa kiswahili na english-
Kile kitendo kinachotokea unapokuwa unasugua ulimi na kutoa ute mzito kinaitwaje kwa kiswahili na english-
asa apple kwa kiingereza tufaa au tufaa kwa kiingereza ndo apple?Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa kiingereza.
1. Manati - Catapult
2. Ukwaju- Tamarind
3. Bamia - Ocra
4. Mafenesi - Jack fruit
5. Mastafeli- Soursop
4. Kupiga danadana - Juggling
5. Apple -Tufaa
6.
Ongezea mengine