Globu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 8,659
- 2,227
Ladies fingerBamia sio OCRA ni OKRA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ladies fingerBamia sio OCRA ni OKRA
Flat breadchapati zitaitwaje kwa hiyo lugha?
Midline..!Mwanya unaitwaje?
Kisogo kinaitwaje?
7 Ugali.......Mzuka wanajamvi!
Matumaini yangu muwazima na buheri wa afya. Kwa upande wangu really I cant complain.
Moja kwa moja kwenye mada. Kuna majina mengi ya vitu tofauti wengi hatufahamu kwa kiingereza.
1. Manati - Catapult
2. Ukwaju- Tamarind
3. Bamia - Ocra
4. Mafenesi - Jack fruit
5. Mastafeli- Soursop
4. Kupiga danadana - Juggling
5. Apple -Tufaa
6.
Ongezea mengine
eeh hio hioKisogo Medula Oblongata,🏃
Hii bila shaka ni kunong'ona.Mummering
Na hapo hapo teacher wetu alikuwa akija anasema " Watoto .... why are you slumbering sasa nadhani neno slumber ni kusinziaSleep ni kulala, usingizi ni sleepy.
lilelile unalong'arishia viatuHivi Kiwi ni tunda gani?
Ila hizi herufi R na L zinatushushia sana p.Fangio bloom
Nimekumbuka Chuo cha Tandabui🤣😂🤣😂😂tandabui=cobwebs
parts of a head?Mwanya sina uhakika labda tooth gap. Aidha kisogo back head
zeneggerChenza linaitwaje vile....nakumbuka inaanza na schwa
😂😂😂😂 Jaman jamanNimekumbuka Chuo cha Tandabui🤣😂🤣😂😂
Mwanya - Diastema.Mwanya unaitwaje?
Kisogo kinaitwaje?
Pia, Tangerine ni chenza......Mandarin