kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Utakuja ambiwa transaction fee,ukiangalia statement yako utaona ni makato ya nnGuys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi.
So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na mia4 yote imeenda wapi?
Siku hizi kuna makato hadi ya kupokea hela NMB?
Niangalie kwenye nini?Utakuja ambiwa transaction fee,ukiangalia statement yako utaona ni makato ya nn
Mimi huWatakwambia makato ya kila mwezi kama fee ya uendeshaji account
Mimi huwa siwekagi hela humu kwahiyo ndiyo wanafanya kama deni siku ya kuweka wanakata hela yao😢Watakwambia makato ya kila mwezi kama fee ya uendeshaji account
Dah! Wamenilostisha sana 😢Gharama za uendeshaji account
Hao makato yao yapoje kwa mwezi?Hamia equity.
Kila mwez naona wanakata 2500Hao makato yao yapoje kwa mwezi?
Sawa sawa tu na NMBKila mwez naona wanakata 2500
Nyumba ikiwaka moto au wezi wakivamia si utaanguka na preshaNimeacha kutumia huduma za bank mwaka wa tano huu, hifadhi pesa zako chini ya uvungu wa kitanda ni salama kwa afya yako.