Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Najua nafsi yako inatamani sana
Inasubiri ahadi yetu kuwa bibi na bwana
Miaka inavyokwenda
Na dhiki zinazidi kutuandama
Na lengo letu lazidi kushindikana
Ila vumilia ndo hali ya dunia
Ipo siku ndoto yetu itatimia
Na lengo

Tshirt na Jeans.....
Piga jeans black , juu tshirt white kisha nata na beat hta kma u mchovu watu watakuona uko fit
 
Inaonekana Gangwe mobb ilikuwa ni kundi la polisi maana
mainspekta na maluteni wapo
enzi zetu matukio ya vijana kuoneana, ugomvi na ubabe yalikuwa mengi. ndio maana ilikuwa ni kawaida kwa kijana kutafuta jina la ziada linaloakisi mamlaka, ubishi, ununda, ushupavu na ujasiri.

ilisaidia sana kuwapa hofu wapinzani wako kama wangekuwa na dhamira mbaya juu yako. jina lilikuwa linasaidia kukuongezea ulinzi.
 
Kama unakumbuka vizuri tuanze na kuwataja wasanii wa kipindi cha 92-96, hiyo ndio ilikuwa kipindi Bongo flavour imeanza anza, na kina 2 Proud (Mr 2), D rob, Chief Rhymson, Nigga one, Eazy B and K-Single, Y thang, Fresh B, Gaddy Groove (Kwanza unit), Saigon Tripp Dog, Storm na Balozi dola soul (Diplomatz), KR, D chief na Easy Dope (GWM) Father Neli (Explastaz)
Unakumbuka
 
Nakubali mama la mama ni kwere sana kipindi hicho yaani
 
"kisichowezekana kidole kimoja kuvunja chawa ila inawezekana hiphop bila madawa" SUMA RADO kama sijakosea.
"mapambano yanaanza nishafika mstari mbele" KALAPINA THE GREAT.
KIKOSI CHA MIZINGA lawama tumezoea
 
Inspekta Haruun kutoka hukoo sayari ya mars....!!!

Acha tu+
 
NUTA Jazz
Kilwa Jazz
Tabora Jazz
Dar International
Safari trippers
Moro Jazz

Kwa sisi wahenga, nimeona msamiati WAHENGA umetumika pasipo mahala pake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sawa mkuu heshima kwako
 
Ukweli mtupu,
 
Na sifa kuu ili uwe mwana wa kitaa enzi hizo lazima uvute bangi tofauti na hapo unaonekana mtoto wa mama
 
ndio tujue sasa hivi kuna kelele na hela, ila muziki ulishaishaga nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…