ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Hili nadhani ndio bonge la hardcore rap..haitawahi kutokea mtu kuimba ngoma ngumu kama hii, biti limeshiba haswaa...sijui Inspector alikuwa alitoa wapi maneno yale. Mwanzo mwisho huelewi kitu. Ile rap ya uswahilini pure.Usawa ni mgumu hata ukivuta ndumu (yeaah)
Ikizidi sana ujue utakunywa sumu (yeaah)
Eee ngangari
waah waah
watu kumbe ngangari
wansegeju...
Gangwe Mobb - Ngangari
View attachment 1783458
Hawa jamaa kweli zaidi ya 60% walichokuwa wanaimba nilikuwa sielewi. Sijui walikuwa wanaimba kiswahili na kilugha? 😀
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app