Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,180
- 1,964
Sajo alikuwa na flow safi sanaDaz Mwalimu
Ferouz
Sajo
La Rhumba
Critic
Huyu Critic Ni afisa kilimo ama mifugo Morogoro huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sajo alikuwa na flow safi sanaDaz Mwalimu
Ferouz
Sajo
La Rhumba
Critic
Huyu Critic Ni afisa kilimo ama mifugo Morogoro huko
Hawa jamaa pamoja na Dar Young Mob, Kwanza Unit na Mawingu walitesa sana mika ya 93/94Kuna wa zamani zaidi ya hayo makundi, wanaitwa WEUSI WAGUMU ASILIA (WWA)
Enzi hizo niliuza nguo sana za draft draftHawa jamaa pamoja na Dar Young Mob, Kwanza Unit na Mawingu walitesa sana mika ya 93/94
@Mad Max na wewe ndo uliimba 'vitu adimu'?Uswahilini ndio walioimba Kosa la Marehemu. [emoji23][emoji23]
Hii ngoma huwa naikubali sana tena sana, kuna nyingine inaitwa 'kitambo kidogo'Mabaga Fresh
BDP wana ngoma yao Rudi rudi Mpenzi
Unaikumbuka album ya kwanza ya B love M iliyokuwa ikijulikana kama Sayari ya mapenzi kukiwa na nyimbo kama sayari ya mapenzi na Anakudanganya?Uzi umekimbia balaa.
Banana Zoro kuna kundi lao kipindi cha nyuma kama sijakosea ni B Love M,alafu kuna wale wakina dada watatu wa mzee Ahmed Kipoz Unique Sisters.
@missyroseMimi nina upara
pamba za zakiem mbagala
Nipo na mamaa wote tunang'aa
Anadai mkononi na chupa ya chang'aa
Aliyekuja na ngedere amtoe out
Kwani humu ndani anazua varangati
BDPMajobles jobles,hawa kundi sikumbuki lilikua linaitwaje
'Haina kontrola, ngoma inaposonga haihofii nguvu ya dola'Nimekumbuka bifu ya gangwe mob na mabaga fresh.
“Mabaga fresh tupo kamili mtu mbili kama milioni mbili”
Aboubakar Sadiki wa radio oneKulikuwa radio presenters waliupigania sana mziki wakina Mike mhagama,taji liundi, soso b,Sebastian maganga
Ova
Ukiachana na Prof J, fanani nilimpenda sana alikuwa anachana balaa, sema unga ulimpoteza.Planet 2000 - Bab' Kubwa
View attachment 1782313
Hard Blasters Crew - Mamsap. Mashairi ya Nigga Jay ( Siku hizi Profesa Jay) humu angeimba msanii wa kizazi hiki tungesema hana maadili 😀 kumbe wahenga pia hatukuwa mbali
View attachment 1782347
Big Dog Posse - Majobless
View attachment 1782317
Saleh Jabri versesIla aliyeleta au aliyefanya watu waanze kuingia kwenye rap ni saleh jabri
Sema yeye alikuwa ana copy,ila anatakiwa apewe heshima yKe
Ova
Huyu ndio wa mtu wa kwanza kurap bongo...alicopy wimbo Ice Ice Baby akaweka maneno ya kiswahili.Daah. Sidhani kama namjua
Umesahau kubwa kuliko..huko ndani Fanani ametiririka balaa..Hao HARD BLASTERS walitisha sana.....vibao vyao kama
Tuko nyuma
Mwokozi
Fanani
Mamsap
Eee Mola
Mwenye hizi ngoma naomba, you tube naona wimbo wa Fanani na Mamsap tu
Solidi graundi famili ii
Ndani ya bushipati